Nchi imesimama soon inazimia

Umeshajipatia nakala ya kitabu kilochozinduliwa jana boss? Kitabu kinakwenda kwa jina la " I am the state"
 
Nchi hii ni ya Kula tu!!!!!! hakuna lolote la maana with such corrupt cabinet utasubiri Sana, Cha zaidi mno maendeleo wanayojua ni kujenga madarasa tuu eti hayo nfo maendeleo fedha zingine wanaweka mifukoni mwao.
 
KAMA BAJETI YA MATUMIZI YA KAWAIDA NI KUBWA KULIKO YA MAENDELEO unatarajia nini?
 
Umepata nakala ya kitabu Cha am the state. 😂😂
 
Hat wewe nyumbani kwako ni hivyo hivyo. Ni jambo la kawaida tunapata pesa tuzitimie asilimia kidogo tuna weka akiba.
Hapana mkuu, lazima huduma za jamii ziboreshwe
 
Umepata nakala ya kitabu Cha am the state. [emoji23][emoji23]
Wale waandishi naweza sema ni wapumbavu .. ivi mkoa gani Tanzania hii ambao haukupata mgao wa maendeleo enzi za Jiwe.. Jiwe amepelaka barabara za lami na taa za barabarani hadi kwa wachawi sumbawanga..
 
Wanajenga madarasa,shule, mabweni, zahanati, vituo vya afya
Wameajiri
 
Wale waandishi naweza sema ni wapumbavu .. ivi mkoa gani Tanzania hii ambao haukupata mgao wa maendeleo enzi za Jiwe.. Jiwe amepelaka barabara za lami na taa za barabarani hadi kwa wachawi sumbawanga..
Huyo jiwe wenu alitengeneza system yeyote ya kupambana na ufisadi? Ametunga sheria za kipumbavu za kumlinda yeye akaacha sheria za kumaliza ufisad afu mnamsifia?
Ni suala la muda hata wale WATUMISHI HEWA WATARUDI! HUWEZI KUMALIZA TATIZO BILA KUTENGENEZA CONTROL MECHANISM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…