Wana CCM hawaDah! Mafisadi wameiteka nchi aisee.
Nadhani kwa sasa hili ndio la msingi kuliko yote, nafasi yako ikija wala usiongee na mtu, jiwekee hazina duniani ili uzidi kuheshimika. Wenzetu wanajineemesha na wanapata heshima kwa njia zote.Mm nasubiri zamu yangu tu ya kulamba asali
Huyu si ndio alikwapua 1.5trillion au unamsemea nani?Tunakukumbuka Jiweeee
1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa...
Utakufa wewe. Nchi sasa hivi ina amani1. Bajeti ya serikali ni ya kula, kujilipa posho, kununua magari.
2. Upigani ndio story kubwa sinazo pigwa hata kwenye ofisi za wakubwa...