kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,010
- 650
Na siamini km JPM anafanyia kazi mawazo yake mwenyewe,mengi anayofanya anashauriana na wataalam na ana haki ya kukataa ushauri usiokua kua na tija kwa umma.Haipendezi hata kidogo mtu kuja hapa na kutokwa na povu jingi sana dhidi ya JPM eti kwakua tu ushauri wake umekataliwa.nyie wacheni bana ngosha apige mzigo.Rais ni yeye,mawazo yake tuu ndio sahihi.km mliweza kumuamini nakumchagua kuwa rais kwanini sasa hamuamini anayoyatenda...
Na ndio nyie nyie mliomkashifu sn jakaya,leo mnamkashifu magu.tuwaelewe vp ss.
ngoshapiga mzigoooo.maisha mazuri yawe ni majaaliwa sio kwa wizi waloouzoeaaaaaa pumbafu hawa.
yani wanataka bandari iwe huru no kodi km kanisani.....
Goodness me!!Tunamsubiri 2020.
Hayo wanyonge wenyewe ni kama wanasingiziwa tu mbona maisha yako yanazidi kuwa magumu.Vuta subira yeye ni rais wa wanyonge hivyo mambo yatakaa vizuri tuko kwenye kipindi anachokiita "transition period" cha kuwafanya watu waliokuwa wanaishi kama malaika waishi kama shetani and vice versa is true.
Tumpe muda utaongea zaidi
Utafuatia utafiti wa redet chini ya nguli wa siasa na mshereheshaji wa chama dr prof ........[emoji2]Twaweza pamoja na kuitaja ni taasisi ya utafiti ya ccm ila imetoa ripoti yake, ningependa kuona utafiti wa taasisi nyingine itoe report tujue kipi ni kipi ila kusema maisha magumu kwa kila mwananchi bila utafiti binafsi sielewi! watu wanajenga tena majumba ya kifahari kwa pesa zipi ikiwa unasema hali ni tete kwa kila mwananchi?
Kiukweli niseme, binafsi nimeanza kujitegemea kimaisha mwaka 2003 na katika kipindi chote cha JK nilishindwa hata kujenga kibanda ila kwa kipindi hiki hata mwaka haujaisha mambo yangu yameanza kwenda vizuri na hata kibanda nimejenga pasipo presha kabisa!
Sema una hali ngumu usiwajumuishe wananchi wote! Jpm pamoja na mapungufu yake kama mwanadamu anaweza kuthubutu kutenda analoliamini pasipo uoga! Kauli za kukata tamaa ni za mzaha tu ila aina ya akina Jpm ndiyo hubadilisha katiba itawale zaidi ya mihula pangwa awali!
Kwa hio na mama ntilie,waendesha bodaboda nao walizoea kupiga?Watu walishazoea kupiga. Watu wanachukua kazi zenye mishahara midogo na wakitegemea hela nyingi wakijua hawatakosa pa kupiga. Pasipokuwepo pa kupiga lazima walie. Ndo haya sasa
Mpinzani tz sio shetaniHuogopi mkuu kutiwa hatiani kwa makosa ya mtandao, hao wote wanaendesha maisha yao kisiasa. Tz ukiwa mpinzani unakuwa shetani
Mtukufu huyo ni naniHii ni Orodha ya Watu na taasisi zinalalamika kuwa hali ya Maisha yao ya kila siku imezidi kuwa Ngumu na haina matumaini tena.
1/Watumishi wa Serikali.
2/Wafanyabiashara.
3/Wanasiasa.
4/Wasanii.
5/Wafanyakazi wa sekta binafsi.
6/NGO's
7/Watalii.
8/Wanafunzi.
9/Wasafirishaji.
10/Wakulima.
11/Wabunge.
12/Taasisi zote za Serikali (Ikulu, Wizara, Manispaa, Halmashauri, Shule, Vyuo, Mashirika ya Umma nk.)
Kote huko ni Kilio tena kilio kikubwa. Na kote huko wanasema kuwa chanzo kikubwa ni 'mtukufu' mara nyingi amekuwa akifanya maamuzi yake binafsi, tena yasiyozingatia TARATIBU, HEKIMA na UTU.
Wananchi wanachanganyikiwa tu,na aliwaambia watalimia meno,sasa ndio wanalimia menoHii ni Orodha ya Watu na taasisi zinalalamika kuwa hali ya Maisha yao ya kila siku imezidi kuwa Ngumu na haina matumaini tena.
1/Watumishi wa Serikali.
2/Wafanyabiashara.
3/Wanasiasa.
4/Wasanii.
5/Wafanyakazi wa sekta binafsi.
6/NGO's
7/Watalii.
8/Wanafunzi.
9/Wasafirishaji.
10/Wakulima.
11/Wabunge.
12/Taasisi zote za Serikali (Ikulu, Wizara, Manispaa, Halmashauri, Shule, Vyuo, Mashirika ya Umma nk.)
Kote huko ni Kilio tena kilio kikubwa. Na kote huko wanasema kuwa chanzo kikubwa ni 'mtukufu' mara nyingi amekuwa akifanya maamuzi yake binafsi, tena yasiyozingatia TARATIBU, HEKIMA na UTU.