Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

Nchi imemshinda ndio maana anajutia Urais

Tanzania imebarikiwa kupata mtukufu anayeua mende kwa nyundo
 
Anatumia nguvu kubwa sana kupambana na mambo madogo.. Badala ya kutatua matatizo yetu na yeye amekuwa anatulalamikia sijui wananchi tufanyeje. Mara kadhaa kauli zake zimekuwa nizakujutia Urais.Alifikiri Urais ni kazi ndogo?, na anavyojifanya kubana hivi yaani kila kitu anabana tu atachoka sana.Tatizo lake kubwa ni kuendesha nchi kwa utashi wake zaidi bila kufuata kanuni na taratibu za nchi pia kutokutaka kushaurika.Nchi huwezi kuiendesha kwa utashi wako tu halafu mambo yakaenda vizuri, sio siri wananchi wengi kwa sasa wanamchukia Raisi wetu kutokana na aina ya uongozi wake.. Hivi sasa Watumishi wa serikali ndio hawataki hata kumsikia, vijana waliohitimu vyuoni ndio wanamchukia balaa. Raisi asidanganywe na takwimu fake zilizotolewa na Taasisi ya Twaweza eti anakubalika kwa asilimia 96,,, Watanzania wengi sasa hivi hawampendi Raisi kwa sababu hali ya maisha imezidi kuwa ngumu... Nchi imeshamshinda kabsa, badala ya kuwasaidia maendeleo watanzania amegeuka kuwa kikwazo cha maendeleo kwa wananchi wanyonge.
Kiongozi jitahidi kufanya kazi za maana hela haziji kilaini kama ulivyozoea. Sisi tunaofanya private sekta tumezoea kuishi kwa mshahara. Hizi disposable income mlizozoea kuzipata burebure ziende kujenga shughuli za jamii kama barabara, gharama za shule, madawa na mengine. Tusipende kulalamika ifikie wakati tujiongeze.
 
Kikwete ona sas. Tunakukumbuka ivooo dah kipind chako tulikua na ela balaa as iv nalazimik kufny kazi za watu 24/7 bila yakudoji nifny mishe zang...
 
uongozi ni kipaji asikwambie mtu....inavyoonekana mkuu hana kipaji cha uongozi ndio maana sekta zote zinatereza hakuna ata sekta moja aliyoifanya ikawa na unafuu... ila tusimlaumu sana pengine ata hakuwa na wazo la kuwania nafasi aliyoipata hiyvyo akupata muda wa kujiandaa kuikabili hiyo nafasi
 
nyie wacheni bana ngosha apige mzigo.Rais ni yeye,mawazo yake tuu ndio sahihi.km mliweza kumuamini nakumchagua kuwa rais kwanini sasa hamuamini anayoyatenda...
Na ndio nyie nyie mliomkashifu sn jakaya,leo mnamkashifu magu.tuwaelewe vp ss.
ngoshapiga mzigoooo.maisha mazuri yawe ni majaaliwa sio kwa wizi waloouzoeaaaaaa pumbafu hawa.
yani wanataka bandari iwe huru no kodi km kanisani.....

Kwani nani kakuambia anapima ubora wa rais wa sasa na wa aliyepita? Watu wanahitaji maisha bora na sio kuagalia rais yupi amefanya kwa ubora kuliko mwenzake. Kwa taarifa yako sio kwamba JPM anafanya vizuri kuliko JK bali anafanya tofauti na alivyokuwa anafanya JK. Kwa maneno marahisi kama JK alifanya kwa 30% vizuri basi JPM anafanya kwa 35% vizuri ila kimsingi wote wako chini ya 50% ambayo ni wastani. Mimi ni mkulima na sijaona unafuu wowote wa pembejeo kwenye kilimo, ila mazao yetu tunauza kwa bei ya chini sana ukilinganisha na gharama halisi za kilimo. Kwenye hili sio JPM wala JK wamefanya lolote la maana. Sasa hapo ndio unataka tuone JPM yuko vizuri wakati wote kwenye upande huo wamechemka?
 
uongozi ni kipaji asikwambie mtu....inavyoonekana mkuu hana kipaji cha uongozi ndio maana sekta zote zinatereza hakuna ata sekta moja aliyoifanya ikawa na unafuu... ila tusimlaumu sana pengine ata hakuwa na wazo la kuwania nafasi aliyoipata hiyvyo akupata muda wa kujiandaa kuikabili hiyo nafasi
Eddy mhando ungetuwekea ripoti inayoonyesha sekta kutereza ingekuwa vizuri. Gossip sio mzuri. No research no right to speak.
 
Eddy mhando ungetuwekea ripoti inayoonyesha sekta kutereza ingekuwa vizuri. Gossip sio mzuri. No research no right to speak.
mkuu macho uoni, masikio pia usikii? ebu niambie wewe pengine mimi nipo mwisho wa dunia uku nilipo ni sekta gani unayoijua wewe tokea mkuu aingie madarakani ina kiunafuuu?
 
Amesema anatakamani urais ungekuwa hata baada ya miaka 2 unaachia angeuachia. Amesema JK kamuachia hewa kila mahali. "ukigeuka huku wanafunzi hewa, ukigeuka huku wafanyakazi hewa, ukigeuka huku ... "
 
Hayo maneno anatamka rais mwenyewe hadharani. Kama wana aibu itabidi wajifiche. Ni zaidi ya mara moja ametamka kuujutia urais. Yeye alifikiri urais ni kazi rahisi sasa anaona ugumu wake ndio maana anatumia nguvu kubwa hata katika masuala ya kidemokrasia. Ameapa kulinda katiba na kuongoza nchi kwa sheria na taratibu lakini sasa anavunja tena sheria na katiba. Kuzuia shughuli za kidemokrasia kwa vyama ni uvunjaji wa katiba na sheria za vyama vya siasa. Sasa anasem anatamani urais ungeweza kuwa unaweza kuuachia baada ya miaka 2 eti angeuachia!
 
mkuu macho uoni, masikio pia usikii? ebu niambie wewe pengine mimi nipo mwisho wa dunia uku nilipo ni sekta gani unayoijua wewe tokea mkuu aingie madarakani ina kiunafuuu?
Kaka mi nilizani ulitumia indicator fulani kupima argument yako kumbe hukutumia. Ukisoma huoni unamaana gani. Alafu performance ya sekta ya nishati mfano unaweza kuipima kwa miezi mitatu. Kunamiradi ambayo kufanikiwa kwake ni zaidi ya mwaka. Hebu tuambie jitihada ambazo rais anazichukua za kuboresha bandari, kuimarisha shilika la ndege na kujenga nidhamu ya utumishi wa umma unazani mafanikio yake utayaona leo?
 
asante mzee mwenzangu kwa kunifungua macho...lakini anayafanya yote hayo uku akisahau kuwa vijana wanahitaji elimu tena elimu iliyoboreshwa je hizo sekta zenye mafanikio ya mbali zitakuja kuongozwa na nani ikiwa vijana wanapatiwa elimu yenye mazingaombwe ndani yake?
 
uongozi ni kipaji asikwambie mtu....inavyoonekana mkuu hana kipaji cha uongozi ndio maana sekta zote zinatereza hakuna ata sekta moja aliyoifanya ikawa na unafuu... ila tusimlaumu sana pengine ata hakuwa na wazo la kuwania nafasi aliyoipata hiyvyo akupata muda wa kujiandaa kuikabili hiyo nafasi
Huo muono wako umegubikwa mihemko haiwezekani JPM awe hana kipaji cha uongozi km unavyodhania,kumbuka kua mamlaka zote hutoka kwa Mungu,na JPM tumepewa na Mungu kwa hiyo km yote aliyoyafanya hayakufurahishi utakua una bahati mbaya,kumbuka hata Mungu naye si yote anayoyafanya yanamfurahisha kila mmoja.
 
asante mzee mwenzangu kwa kunifungua macho...lakini anayafanya yote hayo uku akisahau kuwa vijana wanahitaji elimu tena elimu iliyoboreshwa je hizo sekta zenye mafanikio ya mbali zitakuja kuongozwa na nani ikiwa vijana wanapatiwa elimu yenye mazingaombwe ndani yake?
Mi sitarajii kuboresha sekta ya elimu ni kazi ya mwaka mmoja. Serikali inafanya kazi kwa mipango. Kama umesoma mpango wa miaka itano ya maendeleo ungesema may be mipango hiyo haitaweza kuboresha elimu ama sekta zinginezo.
 
Kwani nani kakuambia anapima ubora wa rais wa sasa na wa aliyepita? Watu wanahitaji maisha bora na sio kuagalia rais yupi amefanya kwa ubora kuliko mwenzake. Kwa taarifa yako sio kwamba JPM anafanya vizuri kuliko JK bali anafanya tofauti na alivyokuwa anafanya JK. Kwa maneno marahisi kama JK alifanya kwa 30% vizuri basi JPM anafanya kwa 35% vizuri ila kimsingi wote wako chini ya 50% ambayo ni wastani. Mimi ni mkulima na sijaona unafuu wowote wa pembejeo kwenye kilimo, ila mazao yetu tunauza kwa bei ya chini sana ukilinganisha na gharama halisi za kilimo. Kwenye hili sio JPM wala JK wamefanya lolote la maana. Sasa hapo ndio unataka tuone JPM yuko vizuri wakati wote kwenye upande huo wamechemka?
Mda JPM aliokaa madarakani km umempa 35℅ukilinganisha na mda aliokaa mtangulizi wake nambaye umempa 30℅ basi tegemea mambo mazuri siku za usoni,mtu aliyefanya kazi miaka 10 na akapata 30℅ kwa mujibu wa vipimo vyako utamlinganishaje na mtu aliyefanya kazi kwa mwaka 1 tu na umempa 35℅?
 
Back
Top Bottom