Uchaguzi 2020 Nchi imelipuka, kila kona, kila sehemu naona ni Tundu Lissu

Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mateso manyanyaso ya CCM sasa yaenda mwisho walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu na wenzao leo hii wapo wapi?
Manyanyaso yapo kwako tu jomba...wengine wananchi wazalendo wa nchi hii wanatanua kwa uongozi Bora na wakuwajali wananchi wa Aina zote mkubwa kwa mdogo...kazi zenu za madili mnazofanya hazina nafasi Tena..so Bora muende hata kulima
 
Jana sio leo,ujaona huo mziki.
Kama issue ni mziki, mziki wa Magufuli tu hamjaweza kuufikia hata kwa nusu,,Sasa mna Nini..mziki wa lowasaa hamjaweza kuufikia hata kwa nusu, Sasa Huo ni mziki au gitaa..au kile kigoma Cha chorus
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ndio maana amekata tiketi ya kurudi kwao baada ya Uchaguzi
Mambo rafiki

Naomba 28/10/2020

Tusifanye makosa ndugu yangu Tumpe kura za ndio Tundu Lisu maana anafaa sana kuiongoza inchi hii.

Yule mwenyekiti wetu muongo sana yaan alisema mwenyewe kamfukuza Gambo kwa matumizi mabaya ya ofisi nikamuona jembe sana lakini Jana kala matapishi yake kuwa hakumfukuza.

Nahisi Mambo mengi anayotuambia ni uongo tusiogope Tumpe kura za ndio Tundu Lisu.

Hii inchi ni yetu sote tufanye maamuzi sahii.
 
Ningeshangaa sana kama asingetokea hata kilaza mmoja wa lumumba na kusema neno,magufuli anafurahi sana kuwaongoza hayawani kama wewe
Nawewe basi Ni hayawani mmojawao kwa sababu Rais wakp ni Magufuli kwa miaka mitano iliyopita na mitano ijayo
 
Sheikh Ponda Issa Ponda amesema wakati wa kuwatoa Masheikh wa UAMSHO na wale wa Answari Suna Mdude Chadema Nyagali nae atachanganywa ili arudi kwenye Familia yake
 
2015 watu walikuwa huru, hata hapa watu tunaandika kwa taadhali sana
 
Mmepoteza mvuto.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Mataga wanaweweseka tuu na kile kibabu betri chao. Mwaka huu lazima kinyee debe kwa uharifu walio ufanya kama hata kimbilia kwao huko Burundi basi lazima tukipandishe Karandinga.
 
Mataga wanaweweseka tuu na kile kibabu betri chao. Mwaka huu lazima kinyee debe kwa uharifu walio ufanya kama hata kimbilia kwao huko Burundi basi lazima tukipandishe Karandinga.
Vipi kike chenu kinachotembea kama tipa inabinua mchanga?🙌
 
Kama issue ni mziki, mziki wa Magufuli tu hamjaweza kuufikia hata kwa nusu,,Sasa mna Nini..mziki wa lowasaa hamjaweza kuufikia hata kwa nusu, Sasa Huo ni mziki au gitaa..au kile kigoma Cha chorus
Why mnaomba usaidizi wa polisi,tume, mmewakimbia wapiga kura kusini
 
Naona huku kwetu mambo ni tofauti.. Kila mtu anasema atamchagua Dkt Magufuli
 
Mungu ibariki Chadema
 
Soma andika vizuri..... Mikoa saba nimesema hiyo ni Jana on my way coming back to Dar.... From Kanda ya ziwa.. But nimezunguka mikoa yote 26 bara na 3 zanzibar kwa zaidi ya siku 81
Nimekusoma Mkuu, bado unaamini mikoa saba (7) kwa siku moja unaweza kutoa kauli ya kuaminika kwa mikoa au kwa "maeneo ya mikoa" uliyopita?! Tunaweza kusema ni fare sample na representation of all the seven regions ulizopita jana?! Nadhani tusilishane na kujilisha upepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…