Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

Kuna mambo ukiyacheki unabaki kuumia na kukasirika tu. Just imagine mnyama wa taifa ni twiga, timu ya taifa twiga na ndo tupo tupo tu kama twiga, favorite ya vijana wengi ni kamari na ulevi tena vinahimizwa mpaka kwenye television ya taifa halafu Kila wakisimama jukwaani utasikia vijana acheni kuwaza shortcut jitumeni na mjiajiri ndipo mfanikiwe, alama za taifa mwenge ni alama kubwa sana miongoni mwao- kila mwaka kukimbizana na mimoshi ya moto matokeo yake unasababisha ngono tu na ukimwi

Huzuni zaidi ni kwamba hao TBL, TCC, na hao wa kamari ndio wanaoingizia serikali pato kubwa
 
Economic crisis! Ilishawahi kutokea miaka ya 1933s nchini ufaransa, wahuni wakahamia USA, Ndiyo ikawa home gambling, miji mikubwa kama Las Vegas, New York City and Hong Kong,ndiko ulikoanzia ule mchezo maarufu Deci, pyramid scheme system [emoji91][emoji91] Nchi inapita Wakati mgumu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…