Nchi imegeuka ya wacheza kamari!

Mishe zime stuck

Ajira zimeshindwa tengenezwa

Kilichobaki kamali na kuingia kukata mauno bongo fleva

Ova
 
Mishe zime stuck

Ajira zimeshindwa tengenezwa

Kilichobaki kamali na kuingia kukata mauno bongo fleva

Ova
Ajira zipo sana mbona, sema uvuvi wa watu, na kutaka vitu vya rahisi,,
Bodaboda inaajili watu milioni 10,
Wapiga debe, conductors, tingo, dreva milioni 2,
Wabeba mizigo milion1.
Machinga milion 10
Mama ntilie milion 1
Fundi selemala laki 2
Fundi welding laki 2
Makanika elfu 50
Fundi uashi elfu 50
Fundi bomba elfu 10
Fundi rangi elfu 5
Fundi viatu elfu 10
Fundi cherehani elfu 50
Fundi tiles, elfu 10
Wachimba mchanga.
Wapasua kokoto.
Wachimba zahabu.
Barmaid.
Mpesa,,
Wakulima milioni 30
 

Umesema vema sana,kama taifa lazma tufanye jambo kuiokoa jamii yetu
 
Mpumbavu mmoja unaongea...

Kijana ajira unategemea wapi Ale.

Nikiamua kuishi maisha yangu unanifuatilia...

Hela ya kubet unanipa.


Acha tuishi maisha tuliyoamua kuishi

Unaonekana wazi kuwa una ubinafsi wa hali ya juu,zamani wazaz wetu hawakwenda shule na waliishi na kutulea,au jiulize n nchi gani huko ilioendelea kwa watu wake kucheza kamari,tumia kichwa chako kugundua chanzo sahihi cha mapato
 

Umenena vema
 
Safi sana mkuu na mimi naamini ipo siku nitatusua pesa ndefu kupitia beting
 
Kati ya hizi ajira ulizozitaja hapo juu wewe huwa unafanya ipi?
 
Plastick bottles collectors.
Public shithouse supervisor.
Home manager(house gals/boy)
Kazi nyingi sana zipo
 
Hesabu hazina uhalisia kabisa
 
Hesabu hazina uhalisia kabisa
Nimeweka kama mfano, kama utagundua nineweka private sector tu,,,
Mfano kazi ya kupasua kokoto, haiitaji mtaji zaidi ya nyundo na nguvu zako, hii inaweza kuajili watu milion 10,, kinachotakiwa ni utashi wa watu,
Kazi ya kufyatua tofali za udongo na kuchoma,, mtaji ni jembe, koleo na pumba za mpunga, tu, unafyatua, unapanga tanuru, unachoma, unauza tofali,, haina mtaji mkubwa, inataka utashi tu,, hii nchi nzima inaweza kuajiri watu, milioni 5,
Kukusanya chupa za plastics, ni kazi nzuri,, lakini inataka utashi wako tu, na inalipa,
Dreva wa bodaboda,, hii inataka uaminifu tu na kujua kuendesha boda boda,
Ukuli,, hii inataka nguvu tu, hawa makuli kwa siku wanaingiza hadi 50,000,, 🤷‍♂️
Kazi ni nyingi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…