Kama Redio ya taifa Tbc inachezesha kamari mimi ni nani nisicheze
Hii chai sinywi jioni ntakunywa asubuhiMchezo wa kamari unatamba dunia nzima siyo Tanzania peke yake! Ni plan B ya ajira hasa kwa vijana wasio na ajira ambao wanazidi kuongezeka kila siku! Lakini pia ni kuongeza kipato kwa sababu siyo kila siku utapoteza ukicheza, ndiyo maana hata maprofesa wa vyuo vikuu wanacheza! Kwa mfano, mimi nilikuwa sina hela kwa sikukuu ya christmas na mwaka mpya hivi majuzi! Nikajipinda kucheza jackpot kwenye sport pesa! Nilisuka mikeka yangu mitatu tu kwa elfu moja moja kila mkeka, hivyo nilitumia shilingi elfu tatu kwa mikeka mitatu. Nilifanikiwa kupata jackpot bonus ya mkeka mmoja kati ya mitatu ambapo nilipata Tshs 4, 770,000/- na ushee! Sasa mpaka hivi ninapochapa huu ujumbe nipo kicheko!
Daah hii imekaa kama motivation speaker 😁😁😁Mchezo wa kamari unatamba dunia nzima siyo Tanzania peke yake! Ni plan B ya ajira hasa kwa vijana wasio na ajira ambao wanazidi kuongezeka kila siku! Lakini pia ni kuongeza kipato kwa sababu siyo kila siku utapoteza ukicheza, ndiyo maana hata maprofesa wa vyuo vikuu wanacheza! Kwa mfano, mimi nilikuwa sina hela kwa sikukuu ya christmas na mwaka mpya hivi majuzi! Nikajipinda kucheza jackpot kwenye sport pesa! Nilisuka mikeka yangu mitatu tu kwa elfu moja moja kila mkeka, hivyo nilitumia shilingi elfu tatu kwa mikeka mitatu. Nilifanikiwa kupata jackpot bonus ya mkeka mmoja kati ya mitatu ambapo nilipata Tshs 4, 770,000/- na ushee! Sasa mpaka hivi ninapochapa huu ujumbe nipo kicheko!
Mchezo wa kamari unatamba dunia nzima siyo Tanzania peke yake! Ni plan B ya ajira hasa kwa vijana wasio na ajira ambao wanazidi kuongezeka kila siku! Lakini pia ni kuongeza kipato kwa sababu siyo kila siku utapoteza ukicheza, ndiyo maana hata maprofesa wa vyuo vikuu wanacheza! Kwa mfano, mimi nilikuwa sina hela kwa sikukuu ya christmas na mwaka mpya hivi majuzi! Nikajipinda kucheza jackpot kwenye sport pesa! Nilisuka mikeka yangu mitatu tu kwa elfu moja moja kila mkeka, hivyo nilitumia shilingi elfu tatu kwa mikeka mitatu. Nilifanikiwa kupata jackpot bonus ya mkeka mmoja kati ya mitatu ambapo nilipata Tshs 4, 770,000/- na ushee! Sasa mpaka hivi ninapochapa huu ujumbe nipo kicheko!
Chai ya tangawiziDaah hii imekaa kama motivation speaker [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata television ya umma inachezesha kamari.Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu,nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa,vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni,kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi,hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu,naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.Nawasilisha
Wacha wajinga waliwe pesa. Unaumia nn?Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu,nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa,vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni,kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi,hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu,naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.Nawasilisha
TBC Ukweli na Uhakika unaambiwa droo zao zinatema balaa [emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.
Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.
Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.
Nawasilisha
Dalili ya umasikini kwenye nchiWapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.
Vyombo vya habari navyo vimekua mstari wa mbele kuanzisha michezo yao ya kubahatisha ilihali wanajua wazi njia hiyo inawatajirisha na kuzidi kumdhoofisha mtanzania mnyonge.
Chukulia mfano bahati nasibu ya mtu kupokea laki 5 kwa kutuma shs 1000 kwenda namba ya kampuni, kama watz mil1 wakituma hiyo elfu1 manake wasimanizi wanapokea bil1 alafu wanatoa laki5 kwa mshindi, hii kitu haikubaliki na inazidisha umaskini kweny jamii yetu, naomba kama taifa tujiunge na kupinga michezo hii inayozidi kuangamiza taifa letu.
Nawasilisha
Mpumbavu mmoja unaongea...Wapendwa binafsi nmekua nikichukizwa na kufadhaishwa sana kwa jinsi vitendo vya kamari na bahati nasibu zilivyoshamiri kwenye jamii yetu, nmekua nikijiuliza maswali kadhaa kama taifa tunaelekea wapi ,upi mstakabali wa vijana wetu na ubunifu kwa ujumla ili kuboresha ustawi wetu kama taifa.