Nchi imegawanyika vijana vs wazee

Nchi imegawanyika vijana vs wazee

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,277
Reaction score
13,920
Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye mitandao ni vijana . CCM ni Kikwete, Mama na wana mitandao aka wapiga deal. Hapa tuna wajinga jinga machawa ambao wanalipwa kwa propaganda ambazo wameshidwa
 
Nchi imegawanyika kati ya wezi na waibiwa, walaji na waliwaji, watawala na watawaliwa, wabaya na wazuri, wanaojitambua na wasiojitambua, wanasiasa na wananchi, wakweli na waongo, matapeli na watapeliwa, wachumia tumbo na wajazao matumbo, wachuna mabuzi na mabuzi nk.
 
Mimi huo mgawanyiko siujui hapa natafakari hotuba ya polepole
 
Vijana wa CCM wengi hawana hoja na wapo kwa maslahi. Wanao jielewa kama Polepole hata Gwajima sio mzee wanaongea. Lakini ukienda mfano Chadema wote wanaongoza ni vijana vijana tu. Ukienda kwenye mitandao ni vijana . CCM ni Kikwete, Mama na wana mitandao aka wapiga deal. Hapa tuna wajinga jinga machawa ambao wanalipwa kwa propaganda ambazo wameshidwa
Genge la wanamtandao hawataki kuwaachia wengine uongozi. Wanawaandaa watoto, vijana wao kama Abdul, Mchengerwa, Wanu, Ridhiwan kurithi mtandao.

Wapo vijana wazuri, waadilifu kama Jerry Slaa, Mtaka, ila wanawekwa pembeni wasipate umaarufu kubwa. Vijana wengi wa CCM ni vigumu kufika juu kama hawqna pesa, Godfather, connection na wanamtandao.

CCM kwa sasa ni chama cha familia chache, matajiri wachache na mafisadi wakubwa.
Vijana kutoka familia maskini na za kati wakijitahidi sana ndanib ya CCM wataambulia uchawa, waachiwe makombo.
 
Back
Top Bottom