Sahihi sana mkuu
Tatizo ni mbadala au huyo anayetarajiwa kujenga hii nchi
I strongly believe chadema ya slaa na zitto ndio ingekuwa nzuri kabisa kujenga nchi, kuliko ya Lowassa....ambaye katoka CCM
Hapo ndio tatizo..tena kubwa
Kwa nini kila yanapojadiliwa masuala ya Chama chenu ni lazima muiongelee Chadema?? kwani Chadema ilikuwepo mwaka 1970 au 1980?