Nchi iliharibiwa na CCM haiwezi kujengwa na CCM

Nchi iliharibiwa na CCM haiwezi kujengwa na CCM

chadema kumbe bado ipo?

mnyika yuko wapi?
Ipo na yupo...licha ya Magufuli kuogopa hadi kivuli chake...unauliza hivyo, lakini unasahau jinsi Magufuli anavyowafunga midomo, miguu na mikono wapinzani.
Mazingira ya kufanya siasa yamefanywa kuwa magumu mno, lakini bado anatamani kuwa hadi IGP! Yaani hajaridhika kwa kuzuia kwake siasa unconstitutionally!!
 
Sitakuja kuihamin chadema kwa uongooo waliotutangazia jangwan na kupata Kiki bunge la 2008_2014 '' leo hii wamebaki kupambana na kauli sio njia mpya ya Upinzan,,,ukiwa mhongo usisahau,,, CCM inaendelea na itaendelea zaid ya miaka 20,, kama stahli hii ya kujiteka, kujifanya nabii unapotea kimiujiza,, kudanganywa na mtu mmoja anayekurupuka na kujitamba kuwa yeye ndiye msomi pekeeee wa sheria serikali haimuwez bla kujiuliza kwann wenzie wapo lopango,,mtu mmoja kujifanya Boss zaid ya wengine swala la ruzuku hakuna mtu kuhoji,,,. NASEMA NCHI HII HAINA UPINZAN WENYE MACHO ISIPOKUWA WAPO KUPOTEZA WA TANZANIA
Umetumia uhuru wako wa kujieleza bruh!
 
Ni kweli watanzania tunadharaulika sana duniani kote kwasababu ya kuishi maisha mnyama kondoo.

Kondoo sio mnyama muoga kama watu wanavyodhani hapana, ila hata anapojua anaenda machinjoni kwasababu ya uvumilivu wake, huwa hasumbui anaenda tu na kisu kikipita shingoni wala hapigi kelele hunyamaza hadi kufa.

Hii nchi imeliwa na tangu Uhuru mpaka Leo, na hawa kwasababu wanamuelewa mtanzania kama kondoo, wamekua wakibadilishana lijiti kila iitwapo Leo wakitumia mbinu tofautitofauti lakini ni walewale.

We kama huyu tuliyenaye kweli ni mtetezi Wa wanyonge? Sikia haya;

Asiyeweza kulipa ada ya shiringi 200 apige mbizi kama samaki,

Hii bukoba kila majanga nyie tu, ukimwi nyie, matetemeko nyie,
Kama mnategemea msaada Wa serikali mwafaa!!

Sitaki kuyataja yote nisiwavuruge watu, hoja yangu ni kwamba, ndani ya CCM hakuna Mwenye nia wala hatakuwepo walikomboa taifa hill, kwasababu;
Wote wameshiriki kuliharibu hivyo wanalindana, wale waliokataa uovu wao waliwafukuza, hebu jiulize swali!

Hivi MTU aliyehonga kimada Nyumba za serikali, anaweza kumwajibisha MTU aliyenunua mabehewa feki?

Wewe mtu anatolewa mifano hai kabisa kwamba, huyu mkuu Wa mkoa ni muhujumu uchumi, alafu bila kufanya tafiti yoyote anasema msimchafue!! Ah mi nakasirika sana acha niachie hapa,, endeleeni wengine mnaoona kama ninavyoona mimi
Tatizo ni ccm au viongozi wenyewe?
 
Ipo na yupo...licha ya Magufuli kuogopa hadi kivuli chake...unauliza hivyo, lakini unasahau jinsi Magufuli anavyowafunga midomo, miguu na mikono wapinzani.
Mazingira ya kufanya siasa yamefanywa kuwa magumu mno, lakini bado anatamani kuwa hadi IGP! Yaani hajaridhika kwa kuzuia kwake siasa unconstitutionally!!

ha ha ha....

kazi unayo
 
kumbuka akili iliotumika kuleta tatizo haiwezi kutumika kutatua tatizo
Hapo nadhani mkuu umekaririshwa tu. Siyo kweli kwamba akili iliyotumika kuharibu kitu haiwezi kutumika kutengeneza kitu.
Je, akili iliyotumika kubomoa nyumba haiwezi kutumika kujenga nyumba hiyo?
Au, je akili iliyotumika kutoa jibu la 2×3=4 haiwezi kutumika kutoa jibu la 2×3=6?
 
Yaani leo hii shetani eti alete ukombozi kwa wadhambi na kuilejesha heshima na utii kwa Mungu wetu kama alivyotaka yeye iwe.Haitatokea hiyo, ccm ni sawa na shetani tu.
 
Watanzania ndugu yangu mniombee
 
Hapo nadhani mkuu umekaririshwa tu. Siyo kweli kwamba akili iliyotumika kuharibu kitu haiwezi kutumika kutengeneza kitu.
Je, akili iliyotumika kubomoa nyumba haiwezi kutumika kujenga nyumba hiyo?
Au, je akili iliyotumika kutoa jibu la 2×3=4 haiwezi kutumika kutoa jibu la 2×3=6?

mke na mume wakipigana huwezi wachukua na kuanza kuwahoji maana kila mmoja anaakili ile ile ilioleta tatizo lazima wakae kidogo ndo uanze kuwahoji sababu akili itakuwa ishatulia
 
Anaeweza kutatua tatizo alielisababish mwenyewe ni yeye mwenyewe sio MTU mwngine.... Ndoa yako haiwez kuwekwa sawa km inalegalega bila wewe mwenyewe
ili mwanafunzi afaulu lazima ajue ni wapi alipokosea arekebishe
 
Kweli mtupu mkuu,

sikuwahi sijawahi sitowahi kuiamini ccm ilete mabadiliko chanya nchi hii kamwe!!! ona kinachoendelea sasa ni visasi na vita baridi ya kimaslahi tuu ati wanaita mabadiliko! Lol ovyoooo!!
 
alitumikaje mkuu? au kuonyesha yuko against na lowasa automatically aliwekwa upande wa ccm?
Aliegemea upande wa ccm mazima kumbuka hata kadi ya zamani hakurudisha hivyo ni member wao halali kimkakati
 
Mleta Thread umenena, wanawadanganyia piwa au konyagi kwenye chupa ya fanta ni ile ile...zaidi ya miaka 55 ya uhuru hakuna jipya ndani ya ccm.
Wajinga ndiyo watakao liwa na siyo werevu kuna movie ya zuga inaenda kuishilia ya ngada ya kupoteza maboya then wanafikiria season nyingine ili muda uende.
 
Back
Top Bottom