Nchi ambazo ukiweza kujitegemea basi unaweza kusurvive popote duniani

Nchi ambazo ukiweza kujitegemea basi unaweza kusurvive popote duniani

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,451
Hio sio list ya nchi zenye vita ambazo watu wake huombea siku iishe salama hata wakikimbilia milimani.

Hizi ni nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana ubongo , hawa ndio watu ambao wakitoka hata nje ya nchi kwenda nchi zisizo na mikiki wanasifika kwa kuwa na njaa kali sana ya kuzishambulia fursa.

1. India
2. Nigeria
3. China
4. Pakistan
5. Indonesia
6. Phillipines
7. Mexico
 
-Bangladesh
-Haiti
-Somalia
-Yemen
-DRC
-Chad
-CAR

Hizo ulizozitaja ukiwa mtu wa 'mipango' hazina shida, kuna nyingine nazijua firsthand.
Hizo ni nchi zilizojaa vita, mtu anawaza zaidi siku iishe awe mzima hata kama ni kwenda kuishi milimani.

tofautisha na nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana ubongo , hawa ndio watu ambao wakitoka nje ya nchi kwenda nchi zisizo na mikiki wanasifika kwa kupata maendeleo
 
Hapo Haiti ilikuaje Mzee Mwenzangu hukukutana nao wale jamaa? Maana nasikia huko hakupoi km DRC ila apapewi hypertension kihivyo
Haiti wasela mavi wa kumwaga, nchi nilizomaanisha kwenda(been there) ni orodha ya juu hiyo. Nchi za 'kazi'.
 
Hio sio list ya nchi zenye vita ambazo watu wake huombea siku iishe salama hata wakikimbilia milimani.

Hizi ni nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana ubongo , hawa ndio watu ambao wakitoka hata nje ya nchi kwenda nchi zisizo na mikiki wanasifika kwa kuwa na njaa kali sana ya kuzishambulia fursa.

1. India
2. Nigeria
3. China
4. Pakistan
5. Indonesia
6. Phillipines
7. Mexico
Huu ni ukweli mtupu...hao Wananch ni balaa kwenye kusaka pesa na yana akili acha kabisa.
 
Kweli huo utajiri ila kifo mkononi muda wowote unaweza ukavishwa chuma kichwani au sio kweli??
IMG_20260221_233504.jpg

My personal 👆🏾 experience nilimaanisha hizi.
DRC miji ya mipango kama Lubumbashi na Kinshasa haina vita, hata Mbuji-Mayi kuko poa tu.
 
Back
Top Bottom