Nchi 10 zenye watu wenye furaha Afrika

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
May 10, 2021
459
507
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha

1679513786850.png

1. MAURITIUS

2. LIBYA

3. IVORY COAST

4. SOUTH AFRICA

5. GAMBIA

6. ALGERIA

7. LIBERIA

8. CONGO

9. MOROCCO

10. MOZAMBIQUE

Additional
 
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha

View attachment 2561999

1. MAURITIUS

2. LIBYA

3. IVORY COAST

4. SOUTH AFRICA

5. GAMBIA

6. ALGERIA

7. LIBERIA

8. CONGO

9. MOROCCO

10. MOZAMBIQUE
Hii itakuwa kinyume chake.
 
Mtoa mada huwezi kuwa serious.

Hujasema ni jarida gani na wala hujaweka link.

Unataka wachangiaji wajadili maandishi yako yasiyo na reference?

Weka link hapa tuonge vigezo vilivyotumika.
 
Namna gani wanaweza kujua vitu kupitia muunganiko wa ubongo na simu zetu directly kupitia emoji na maandishi unayotumia muda mwingi.
#Human n Digital device interaction
 
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha

View attachment 2561999

1. MAURITIUS

2. LIBYA

3. IVORY COAST

4. SOUTH AFRICA

5. GAMBIA

6. ALGERIA

7. LIBERIA

8. CONGO

9. MOROCCO

10. MOZAMBIQUE

Additional
Congo na Mozambique??

Naamini TZ tuko na furaha sana!
 
Huenda ni Congo ile nyingine Congo Brazaville. Sema tu uzi haujajitosheleza. Na kama ni Congo hii ya Kinshasa, basi itakuwa raha jipe mwenyewe bila kujali nje kuna nini.
 
Kuhusu congo.... ukienda miji kama kinshasa na au Lubumbash huko ni full furana hawachukulii serious kama kuna ndugu zao huku mashasiki hawalali usingizi... vita vipo huku mashariki ya congo kwenye maeneo ya musitu..
 
sio DRC wao wanalia kila siku, Ni Congo Brazzavile ipo karibu na Jamhuri ya Afrika ya Kati
 
Hiyo orodha humaanisha nchi ambazo agenda na maslahi ya waandaa orodha hayaguswi na watawala.
 
Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha

View attachment 2561999

1. MAURITIUS

2. LIBYA

3. IVORY COAST

4. SOUTH AFRICA

5. GAMBIA

6. ALGERIA

7. LIBERIA

8. CONGO

9. MOROCCO

10. MOZAMBIQUE

Additional
Sisomagi upuuzi km huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom