Tanzania ni Nchi ya 4 kati ya 10 zenye idadi kubwa ya Watu wasio na Umeme Afrika

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1702026257487.png

Kwa mujibu wa taarifa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati (IEA) hadi kufikia mwaka 2023, zaidi ya Wananchi Milioni 600 kutoka Nchi za Afrika hawapati huduma za Umeme kutokana na Bara hilo kuwa limeunganisha takriban 43% pekee Watu.

IEA imesema, ukosefu wa Umeme unazinyima Kaya Masikini haki ya Kupata Mwanga, pia umekuwa kikwazo katika kushiriki shughuli muhimu za Kidigitali. Athari hiyo inagusa kila Sekta ya Uchumi, ikiwa ni pamoja na Biashara, Elimu na Huduma za Afya.

Aidha Ripoti ya Idara ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa (UNSD) imeeleza kuwa hali hiyo imechangiwa na kushindwa kwa muda mrefu kwa viongozi wa Afrika kuwekeza vya kutosha katika Sekta za Umeme kwenye Nchi zao.

===========

Access to electricity remains a pressing issue in several African nations, posing significant challenges to their development. Across the continent, a substantial portion of the population grapples with the absence of reliable electricity.

Millions of individuals are living in persistent darkness, lacking access to a basic necessity crucial for daily life. According to the International Energy Agency (IEA), more than 600 million Africans lack access to energy, resulting in an electricity access rate of over 43 per cent for African countries, the lowest globally.

The absence of electricity restricts households from engaging in essential activities, such as proper lighting for homes and streets. The impact extends beyond domestic settings, affecting every sector of the economy, including businesses, education, and healthcare.

The lack of electricity accessibility in many regions can be attributed to various factors, including the high cost of electricity and infrastructure deficit. While on a global scale, Africa boasts relatively low electricity costs, there still exist regions whose prices are relatively high compared to household incomes. In an earlier report, Business Insider Africa explored African countries with the highest cost of electricity in 2023 and how it can stifle the growth of economies.

Another factor is the prolonged failure of African leaders to sufficiently invest in their nations' electricity sectors, thereby falling short in the crucial task of building the necessary capacity.

An energy progress report disclosed the African countries with the largest populations lacking access to electricity. The report is a collaborative initiative by the International Energy Agency (IEA), the United Nations Statistics Division (UNSD), the World Bank and other partners.

Below are the 10 African countries with the largest population lacking electricity:​

RankCountryPopulation without access to electricity
1Nigeria86 million
2Democratic Republic of the Congo76 million
3Ethiopia55 million
4United Republic of Tanzania36 million
5Uganda25 million
6Mozambique22 million
7Niger21 million
8Madagascar19 million
9Burkina Faso18 million
10Angola18 million
 
View attachment 2836340

Hizo taarifa hazijawa updated so sio za kuzitegemea na kuzipa attention ikizingatiwa kwamba Bado Vijiji 1005 tuu kuwa na Umeme ambapo navyi vitakamilika kabla ya June 2024.

On top of that Kuna mradi wa upelekaji wa umeme kwenye vitongoji so Nako kazi inaendelea
20231107_180832.jpg
 
Hiyo takwimu haiko sahihi kwa upande wa Tanzania ni ya zamani sana. Ni vijiji vichache tu bado havina umeme
 
Mkuu,

Upatikanaji wa umeme nyumba kwa nyumba baada ya vijiji kupata umeme ukoje?

Watu wanaunga sana umeme baada ya vijiji kupata umeme?

Au kuna changamoto mbalimbali kama za kiuchumi ambazo bado zinafanya watu wengi wasiunganishe umeme licha ya umeme kufika mpaka kijijini?
 
Hii taarifa sio za kweli labda kama ni ya kuombea Mkopo World Bank nimetembea Ruvuma Nakapanya ndani ndani huko hadi Mara,Simiyu busega igalukilo ndani kabisa nimekuta umeme unawaka masaa 24,
Kijijini kwetu ndio usiseme ,changamoto iliopo ni reliable electricity
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati (IEA) hadi kufikia mwaka 2023, zaidi ya Wananchi Milioni 600 kutoka Nchi za Afrika hawapati huduma za Umeme kutokana na Bara hilo kuwa limeunganisha takriban 43% pekee Watu.

IEA imesema, ukosefu wa Umeme unazinyima Kaya Masikini haki ya Kupata Mwanga, pia umekuwa kikwazo katika kushiriki shughuli muhimu za Kidigitali. Athari hiyo inagusa kila Sekta ya Uchumi, ikiwa ni pamoja na Biashara, Elimu na Huduma za Afya.

Aidha Ripoti ya Idara ya Takwimu ya Umoja wa Mataifa (UNSD) imeeleza kuwa hali hiyo imechangiwa na kushindwa kwa muda mrefu kwa viongozi wa Afrika kuwekeza vya kutosha katika Sekta za Umeme kwenye Nchi zao.

===========

Access to electricity remains a pressing issue in several African nations, posing significant challenges to their development. Across the continent, a substantial portion of the population grapples with the absence of reliable electricity.

Millions of individuals are living in persistent darkness, lacking access to a basic necessity crucial for daily life. According to the International Energy Agency (IEA), more than 600 million Africans lack access to energy, resulting in an electricity access rate of over 43 per cent for African countries, the lowest globally.

The absence of electricity restricts households from engaging in essential activities, such as proper lighting for homes and streets. The impact extends beyond domestic settings, affecting every sector of the economy, including businesses, education, and healthcare.

The lack of electricity accessibility in many regions can be attributed to various factors, including the high cost of electricity and infrastructure deficit. While on a global scale, Africa boasts relatively low electricity costs, there still exist regions whose prices are relatively high compared to household incomes. In an earlier report, Business Insider Africa explored African countries with the highest cost of electricity in 2023 and how it can stifle the growth of economies.

Another factor is the prolonged failure of African leaders to sufficiently invest in their nations' electricity sectors, thereby falling short in the crucial task of building the necessary capacity.

An energy progress report disclosed the African countries with the largest populations lacking access to electricity. The report is a collaborative initiative by the International Energy Agency (IEA), the United Nations Statistics Division (UNSD), the World Bank and other partners.

Below are the 10 African countries with the largest population lacking electricity:​

RankCountryPopulation without access to electricity
1Nigeria86 million
2Democratic Republic of the Congo76 million
3Ethiopia55 million
4United Republic of Tanzania36 million
5Uganda25 million
6Mozambique22 million
7Niger21 million
8Madagascar19 million
9Burkina Faso18 million
10Angola18 million
Ripoti ya kipuuzi.Saizi accessibility ni over 85% ,Sasa Kwa kaya Zenye Umeme unapata zaidi so wasio na umeme hawawezi zaidi watu mil.20
 
Uchawa ni ufinyu wa akili na ni umalaya kisiasa
Consequence yake
1.Ujinga wa kitaifa
2.Taifa lisilo na dira
3.Upuuzi kuonekana fashion kwenye vitu serious kwa maslah ya taifa
4.ufisadi
5.chuki
6.Utahira wa kisiasa na kiakili
7.Elimu mbovu
 
Hizo ndio hoja? Wewe ndio mpumbavu unawekewa takwimu unabisha kwa sababu umejaza mavi kichwani.
 
Uchawa huambatana na matusi ,kisakolojia inaitwa ufinyu wa akili uliopitiliza na unafiki wa level za juu kabisa ,pia ni hatari katika usalama wa Taifa la wastaarabu
 
Hizo taarifa hazijawa updated so sio za kuzitegemea na kuzipa attention ikizingatiwa kwamba Bado Vijiji 1005 tuu kuwa na Umeme ambapo navyi vitakamilika kabla ya June 2024.

On top of that Kuna mradi wa upelekaji wa umeme kwenye vitongoji so Nako kazi inaendelea View attachment 2836350
Labda kama hiyo takwimu imechukuliwa kipindi cha kukatika kwa umeme. Na picha hiyo imepingwa na setellite usiku ambapo miji na majiji yako gizani. Kama ni hivyo 36m ni sahihi. Otherwise si kweli
 
Kwa mujibu wa taarifa ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati (IEA) hadi kufikia mwaka 2023, zaidi ya Wananchi Milioni 600 kutoka Nchi za Afrika hawapati huduma za Umeme kutokana na Bara hilo kuwa limeunganisha takriban 43% pekee Watu.

IEA imesema, ukosefu wa Umeme unazinyima Kaya Masikini haki ya Kupata Mwanga, pia umekuwa kikwazo katika kushiriki shughuli muhimu za Kidigitali. Athari hiyo inagusa kila Sekta ya Uchumi, ikiwa ni pamoja na Biashara, Elimu na Huduma za Afya.
Na bado bwawa linahujumiwa
 
Ripoti ya kipuuzi.Saizi accessibility ni over 85% ,Sasa Kwa kaya Zenye Umeme unapata zaidi so wasio na umeme hawawezi zaidi watu mil.20
Hiyo 15% iliyobaki nahisi ni vijiji Vya Wilaya ya Chunya. Kwa mfano: Mafyeko, Kambikatoto, BintiManyanga n.k. Wilaya ya Chunya vijiji vingi havina Umeme.
 
Back
Top Bottom