Nchemba anapomuita Mnyika mtoto wa kiume

Nchemba anapomuita Mnyika mtoto wa kiume

Bright Smart

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2011
Posts
643
Reaction score
312
ni muda huu bungeni Nchemba kasema "wanaume wanapoongea,watoto wa kiume wakae chini" akimaanisha Mnyika ni mtoto wa kiume.
Mtazamo wangu naona hawa wakina Nchemba wanaowalamba miguu kina JK hata akicheka wanapiga makofi kwamba ni point ili wapate kusukuma life ndo watoto wa kiume hawa.
 
watakaporudi kuomba kura huku vijijini kwetu
lazima waje na ufafanuzi wa hayo matusi wanayotukana
na maneno yao ambayo ni kutudharau hata sie tuliowapa kazi
la sivyo patachimbika.
 
Wenye wake zenu hapo Dodoma mwangalieni sana huyo Nchemba.
 
ni muda huu bungeni Nchemba kasema "wanaume wanapoongea,watoto wa kiume wakae chini" akimaanisha Mnyika ni mtoto wa kiume.
Mtazamo wangu naona hawa wakina Nchemba wanaowalamba miguu kina JK hata akicheka wanapiga makofi kwamba ni point ili wapate kusukuma life ndo watoto wa kiume hawa.

Namshauri Chadema nao waanze kumwita Mtoto wa Mama
 
Hakukosi kituko IDODOMYA,WABUNGE WAPIMWE KWA VIFAA MAALUM KILA ASBUI NA MCHANA IKIGUNDULIKA WAMETUMIA VILEO BASI WASIRUHUSIWE KUINGIA

yaani hawa sio wanatumia vileo ni bange bange bange inasababisha waropoke ndo maana wanataka ihalalishwe.
 
Mwigulu ni Kubwa J........ameathirika na mchezo wa "Kiserukamba"
 
Sina hamu na Bunge la Tanzania maana imekuwa sehemu ya mipasho tu.
 
Sina hamu na Bunge la Tanzania maana imekuwa sehemu ya mipasho tu.
Mbona Bunge la Zanzibar haya mambo hakuna?
Ila kwa ninavyoona wanasiasa mnataka mtuzubaishe na ujinga mnaofanya sasa ili bajeti mbovu zipite
 
wabunge wanachokifanya ni kutafuta umaarufu wajulikane maana wengine wananchi hawawajui zaidi ya wananchi wa majimboni kwao .Sasa nadhani wanafikiri bado tumelala piga piga kelele wenzao wanapiga kwa vitendo na vitu tunaviona wakajenge madaraja na kutatua matatizo majimboni kwao waite media watajulikana lakini sio kwenda kupiga kelele luga za kejeli na matusi kwenye organ aya serikali ambayo ni muhimu kwa taif
 
ni muda huu bungeni Nchemba kasema "wanaume wanapoongea,watoto wa kiume wakae chini" akimaanisha Mnyika ni mtoto wa kiume.
Mtazamo wangu naona hawa wakina Nchemba wanaowalamba miguu kina JK hata akicheka wanapiga makofi kwamba ni point ili wapate kusukuma life ndo watoto wa kiume hawa.

Na spika kachukua uamuzi gani? Ama ni huyu huyu ndunga?
 
yaani hawa sio wanatumia vileo ni bange bange bange inasababisha waropoke ndo maana wanataka ihalalishwe.

Na yule mwana mama aliyetaka wanaume wasiojua kutongoza wafundishwe alitaka nini kihalalishwe
 
Huyu nchemba alipewa kibali na JK cha kumtukana mtu yeyote bungeni na kiti kimeelekezwa kumlinda.(Kwenye kikao cha NEC taifa tulimuona jk akiwaagiza wabunge wote wa ccm na mawaziri wajibu hoja kwa style hii ya Nchemba.)

Kwa ufupi, JK, Nchemba, Ndungai n.k ni vinara wa siasa za chuki, matusi, ubabe, na uuaji.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sina hamu na Bunge la Tanzania maana imekuwa sehemu ya mipasho tu.
Mbona Bunge la Zanzibar haya mambo hakuna?
Ila kwa ninavyoona wanasiasa mnataka mtuzubaishe na ujinga mnaofanya sasa ili bajeti mbovu zipite

nadhani ni kukua kwa demokrasia ambapo ccm hawataki na wanaizuia kwa nguvu ila watashindwa maana ni sawa na kubishana na ukuta
 
Nchemba bila kujichekeresha na kuegemea maovu ya ccm na chama chao mfu hawezi kula, kashalaaniwa na wapenda haki. naamini kabla hajazikwa majibu ya usaliti wake atayapata hapahapa duniani
 
Back
Top Bottom