MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Mwingulu Nchemba kweli is a pyschiatric case! kwani anamuona Mnyika ni wa kike?!
Mnyika na huo "utoto wa kiume" ni Tsunami inayowajia, ndio maana akisimama kuzungumza bunge zima; wazee kwa vijana, wake kwa waume na kina Nchemba "Mtoto wa mama" they all sit up and listen, mpaka mzee wa kutafakari Wassira hawezi kusinzia wakati John Mnyika anazungumza. Jembe lile!