Inasemekana jamaa alinyonya hadi miaka 5Dah!ila kitendo cha Nchemba kujioneshea kidole kichwani kama ishara ya kusema ana akili sana...ivi Nchemba anaamini ana akili kuliko watu wote??ameniboa kwa ishara kila akijiangalia akiona kamera inammulika anaonyesha ishara kuwa "Nina akili sana" ....mshamba sana uyu jamaa
Lazima kanuni na utaratibu huu ufuatwe FIRST COMES FIRST SERVED
Kabla ya USHAHIDI wa Mnyika lazima shahidi zilizotangulia tufahamishwe matokeo yake. Ndugai TENDA HAKI. Tunataka Matokeo ya SHAHIDI zifuatazo kwanza
1. Lema v. Pinda (kusema uongo)
2. Magdallena Sakaya v. DCs kuchukua Hongo
3. Zitto v. Baraza la mawaziri kurubuniwa
4. Mnyika v Nchemba kuhusika EPA.
Najua Ndugai huwa unapitia JF
Dah!ila kitendo cha Nchemba kujioneshea kidole kichwani kama ishara ya kusema ana akili sana...ivi Nchemba anaamini ana akili kuliko watu wote??ameniboa kwa ishara kila akijiangalia akiona kamera inammulika anaonyesha ishara kuwa "Nina akili sana" ....mshamba sana uyu jamaa
Lets Assume kuwa hiyo kamati ya nidhamu ikamtia hatiani Mnyika what will be the worse Scenario? CCM udhibitisho huo wa mnyika utafuta madhambi yenu yote?
tumia akil yko vizuri unapoandika. mtu kusema uongo bungeni, kama ni muadilifu anafaa kujiuzulu. pale hatupeleki watoto ambao hata hawajui familia inaendeshwa vipi. kupayuka na kubwabwaja si mahala pake bungeni. ataendelea kuwa mbunge lkn wanaomuamin watapungua! hadhi yake itashuka. vile na wewe bado unalishwa hujui majukumu ni nini huwezi kuelewa maana ya hadhi katika jamii.
Inaweza kuwa ngumu kwa Mnyika kuthibitisha uhusika wa Nchemba lakini sitategemea kuona Ushahidi ukisomwa mbele ya wabunge. Haya yanawezekana;
a) Kwa kutoridhisha kuwa Nchemba amehusika, Mnyika atakuwa amesema uongo na atakuwa suspended. Hatakiwi mjengoni!
b) Jambo hili kuachwa bila adhabu yoyote kwa Mnyika lakini ikasemwa kuwa ushahidi ni dhaifu. Hofu itakuja kwa wabunge wa Chadema kudai maelezo ya Lema na Zitto yatolewe na adhabu kwa wahusika itolewe kwa kipimo sawa na atachopewa Mnyika.
Kwa mbali naona jambo hili litapita tu kama yalivopita EPA, Richmond, Dowans na washirika wake!! Kumbukeni EPA ni moja ya sehemu ambapo CCM hataki kurudi! Na namna ya kutorudi ni kumaliza mambo kimya kimya. Naichukulia hii kama "case closed". Nitashangaa nikisikia hata hiyo taarifa ya Kamati ya Nidhamu, achilia mbali adhabu kwa Mnyika.