Nchemba acharuka bungeni. Ataka kujua ripoti ya mnyika leo bungeni

Kumbe Mwigulu ni TAKATAKA SANA,maongezi yao na Willy naamini ni Malecela, ushoga sana aliyeukumbatia ni mwenyekiti wake JK na wakati huu yupo UK akiomba misaada, je yupi ambaye anaweza kukupa masharti na kutekeleza uppesi?.JK na CCM ndiye mwenye kuendekeza mambo ya ushoga na hata
 
Tusubiri kamati ya maadili ikae, ila NSpika kakosea maana ni kama katoa hukumu kabla ya kikao cha kamati. Ameonesha wazi upande anaosimamia mpaka sasa hivi!!
 
Ndugai siku zote toka Bunge lianze amekua akijikita zaidi kutetea na kuchochea hoja ambazo hazina msingi na amejaa mipasho ya pwani zaid na ndio maana akiwa bungeni sna sna utahisi Bunge ni Taarab fln hvi na yy ndo kinara......

Nachotaka kukuambia Ndugai ni kwmb mipasho yko kafanyie jimboni kwko....... tumechoka unafki wko na ndio unachangia katika kupotosha uma kuliko mtu yoyote hpa pamoja na shoga wko Nchemba.....
 
Mbona mengine wanayo tuhumiwa hawakazanii ushahidi?
Huyu Mchemba ni misifa sana.

Aishie huko hawezi kushindana na Jembe Mnyika katika hoja

nakumbuka ushahidi wa Lema ulivyowekwa kapuni kimya kimya...mwisho wa siku jamaa akafanyiwa fitna mwishowe akapokwa ubunge .
 
tumia akil yko vizuri unapoandika. mtu kusema uongo bungeni, kama ni muadilifu anafaa kujiuzulu. pale hatupeleki watoto ambao hata hawajui familia inaendeshwa vipi. kupayuka na kubwabwaja si mahala pake bungeni. ataendelea kuwa mbunge lkn wanaomuamin watapungua! hadhi yake itashuka. vile na wewe bado unalishwa hujui majukumu ni nini huwezi kuelewa maana ya hadhi katika jamii.

Mbona kikwete hakujiuzulu kw kulidanganya BUNGE kuwa hela ya EPA itarudishwa?
 
tumia akil yko vizuri unapoandika. mtu kusema uongo bungeni, kama ni muadilifu anafaa kujiuzulu. pale hatupeleki watoto ambao hata hawajui familia inaendeshwa vipi. kupayuka na kubwabwaja si mahala pake bungeni. ataendelea kuwa mbunge lkn wanaomuamin watapungua! hadhi yake itashuka. vile na wewe bado unalishwa hujui majukumu ni nini huwezi kuelewa maana ya hadhi katika jamii.

kwani wabunge wasio na familia bungeni ni akina nani ndo maana utoto utoto ni mwingi, wanadhani wako daruso!
 
Ukisomwa ushahidi wa Mnyika Bungeni,itakuwa vizuri sana tudai wa Lema,Zito Sakaya na nyingezo zilizokaliwa na Bunge,hii itakuwa imetulia sana,game on
 
There is no fair grounds...Ngugai(member wa chama cha mabwepande) anasikiliza kessi inayomuhusu Nchemba(mweka hazina wa chama cha mabwepande) dhidi ya mnyika(chama cha watetezi wa wanyoge..do you expect a fair game?nchi hii ni uozo mtupu
 
Asubuhi hii saa 4 na dkk 10, mh nchemba ameomba muongozo wa naibu spika kuhusu maelezo ya uthibitisho wa yeye kuhusika na EPA. amezungumza huku akionesha hisia kali sana. kasema kuwa wakati wa kashfa ya EPA alikua hajaanza kufanya kazi B.O.T. kasema wapiga kura wake na familia yake imeguswa sana na tuhuma hizi. ameomba kujua maendeleo ya suala hilo kutoka kwa naibu spika. tundu lissu amejaribu kusema kuwa muongozo wa nchemba siyo sahihi lkn naibu spika akamuelimisha lissu kuwa muongoozo haujawekewa ukomo.

ndugai ameomba wabunge wawe makini na kauli zao. "mbunge huwezi kusema kuwa una ushahidi wa jambo fulani kisha ukiombwa ushahidi unapeleka habari za mtaani na ushahidi wa magazeti".

"mnyika alidai kuwa mh nchemba alihusika na EPA. mnyika ameleta ushahidi ambao ni maelezo mafupi. suala hili nalipeleka kwenye kamati ya maadili ya bunge, watapitia ushahidi wa mnyika kisha wote wataitwa kuhojiwa na kamati. matokeo ya kamati tutafahamishwa" alisema ndugai

kwa jinsi lissu alivyokua anababaika, inaelekea MNYIKA SUALA HILI LIMEMKALIA VIBAYA! yetu masikio. tunasubiri taarifa ya kamati.

UCHAMBUZI WANGU
ni dhahiri kuwa ccm wameshapitia ripoti ya mnyika na kuiona haina mashiko. kama ingekua na mashiko, nchemba angezuiwa toka jana na ccm kuzungumzia suala hilo. vile nchemba ameliibua tena leo hii, inaonesha ametumwa na chama chake. ama kweli nchemba amshika mnyika pabaya! mdomo jamani mdomo! mdomo jamani mdomo
Kwa mtazamo wangu hapa ni MNYIKA AISHIKA PABAYA SERIKALI kwa maana fupi tu ni serikali na Nchemba kama wanabisha/anabisha hakuusika na kashfa ya EPA basi sisi kama wananchi tunahitaji kujua fedha zile ziliibwa na nani? zilipelekwa wapi na kwa matumizi gani? na kama zilirudishwa hao waliorudisha ni akina nani? na walichukuliwa hatua gani kwa wizi huo? pia na baada ya kurudishwa zilitumika wapi na zilirudishwa katika akaunti gani? kwa hili Nchemba anapokanusha basi awe na majibu mbadala ni akina nani waliiba kwa sababu alipoingia pale BOT alikuta ripoti na wakati fedha zinarudishwa alikuwepo, hii isiwe janja ya kuchezea akili zetu watanzania.
 
524018_199190553541959_1808874647_n.jpg

Nchemba ana matatizo gani kwenye ubongo wake? CHADEMA kimekuwa kwenye ulingo wa siasa kwa miaka 20 sasa, leo anasema agenda ya CHADEMA ni kuleta ushoga? Cameroon amengeo lini kuhusu ushoga, 20 years ago? As we speak UK kupitia DFID wako miongoni mwa nchi wanatoa hela nyingi kusaidia bajeti ya serilali ya CCM. Sasa nayo CCM inapokea hela ili kuleta ushoga?

Kuhusu gesi, siri gani anataka kusema huyu wakati serikali ya CCM ndio iko madakarani? Hivi serikali hii ina siri? Tatizo la Nchemba ni kulamba miguu ya wakubwa bila kuangalia aina ya uchafu uloganda kwenye miguu. Kwa akili yake ya uchumi daraja la kwanza anafikiri hizo 'notes' anazopewa ni za kubomoa CHADEMA, lakini atajikuta anafanya kazi sawa sawa na Nape - kubomoa CCM. Wabunge wa CCM wenye akili timamu na wanaotaka kuendelea kuwa wabunge wanatakiwa wamkimbie huyu dogo kwa kasi kubwa, ni dalali wa viwango vya chini sana.

Na inakuwaje mtu anawasemea watanzania kwamba 'wanachochewa? Yaani watanzania hawana akili timamu wala uwezo wa kuamua bila 'kuchochowa? Nchemba anataka kusema watanzania wana maisha bora na hivyo wanaolalamika ni uwongo? Kama kweli kwanini yeye Nchemba aliuza gari yake ili kuchimba visima jimboni kwake? Serikali ya CCM ilikuwa wapi mpaka mbunge atumie hela za mauzo ya gari yake kuleta huduma ya maji? Hapo wananchi wanahitaji uchochezi wa CHADEMA kudai maji?
 
Lazima kanuni na utaratibu huu ufuatwe FIRST COMES FIRST SERVED

Kabla ya USHAHIDI wa Mnyika lazima shahidi zilizotangulia tufahamishwe matokeo yake. Ndugai TENDA HAKI. Tunataka Matokeo ya SHAHIDI zifuatazo kwanza
1. Lema v. Pinda (kusema uongo)
2. Magdallena Sakaya v. DCs kuchukua Hongo
3. Zitto v. Baraza la mawaziri kurubuniwa
4. Mnyika v Nchemba kuhusika EPA.

Najua Ndugai huwa unapitia JF
5. Kafulila vs wabunge watatu wa ccm, Zambi, Bedwel na... kuchukua rushwa kutoka halmashauri ya wilaya
 
Wakati mwingine mtaniona mbaya kwa kusema ukweli,ripoti ngapi za ushahidi wa wabunge wa CDM hausomwi wala kujadiliwa na kupewa majibu? uzembe ni wa wabunge wetu wa CDM pia! kwanini hawashinikizi ushahidi wao kufanyiwa kazi kama anavyokomaa Nchemba? Nafikiri spirit ya wabunge wa CDM imeshuka sana,hawawajibiki kama mwanzo walivyoingia bungeni.wanatakiwa wawe aggressive wasisikilize propaganda za CCM kuwapoza!

Pengine hutokea kuwa wameshikwa pabaya! Tatizo la Wabunge wenu wanapenda kubeba habari za kusikia na kuzitamka hadharani. Mbona wakati wa Slaa alikuwa muangalifu wa anachosema?
 
Kwa yeyote aliyefuatilia suala lilivyoshughulikiwa leo bungeni, atakubaliana na mimi yakuwa ulikuwa mchezo wa kuigiza, kilka kitu kilikwishapangwa mapema kati ya naibu spika na Machemba; ndiyo maana hata wakati wa kutoa kile alichoita uamuzi wake, naibu huyo alionekana wazi kuwa alikuwa anasoma uamuzi huo kutoka kwenye karatasi iliyokuwa mikononi mwake, Aidha matamshi yake ya kuwa ushahidi alioutoa Mnyika haukukidhi haja dhairi unaingilia kazi ya kamati, Kamanaibu spika tayari ameisha fikia uamuzi ya kuwa ushahidi huo haukidhi haja kuna sababu gani kuupeleka mbele! Kuna haja ya kumgeuzia kibau huyo naibu spika kutokana na tabia yake ya kuwa anaendesha mambo ya kitaifa kwa ushabeki wa kisiasa
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Asubuhi hii saa 4 na dkk 10, mh nchemba ameomba muongozo wa naibu spika kuhusu maelezo ya uthibitisho wa yeye kuhusika na EPA. amezungumza huku akionesha hisia kali sana. kasema kuwa wakati wa kashfa ya EPA alikua hajaanza kufanya kazi B.O.T. kasema wapiga kura wake na familia yake imeguswa sana na tuhuma hizi. ameomba kujua maendeleo ya suala hilo kutoka kwa naibu spika. tundu lissu amejaribu kusema kuwa muongozo wa nchemba siyo sahihi lkn naibu spika akamuelimisha lissu kuwa muongoozo haujawekewa ukomo.

ndugai ameomba wabunge wawe makini na kauli zao. "mbunge huwezi kusema kuwa una ushahidi wa jambo fulani kisha ukiombwa ushahidi unapeleka habari za mtaani na ushahidi wa magazeti".

"mnyika alidai kuwa mh nchemba alihusika na EPA. mnyika ameleta ushahidi ambao ni maelezo mafupi. suala hili nalipeleka kwenye kamati ya maadili ya bunge, watapitia ushahidi wa mnyika kisha wote wataitwa kuhojiwa na kamati. matokeo ya kamati tutafahamishwa" alisema ndugai

kwa jinsi lissu alivyokua anababaika, inaelekea MNYIKA SUALA HILI LIMEMKALIA VIBAYA! yetu masikio. tunasubiri taarifa ya kamati.

UCHAMBUZI WANGU
ni dhahiri kuwa ccm wameshapitia ripoti ya mnyika na kuiona haina mashiko. kama ingekua na mashiko, nchemba angezuiwa toka jana na ccm kuzungumzia suala hilo. vile nchemba ameliibua tena leo hii, inaonesha ametumwa na chama chake. ama kweli nchemba amshika mnyika pabaya! mdomo jamani mdomo! mdomo jamani mdomo

You have been banned for the following reason:
UONGO

Date the ban will be lifted: 30 th July 2012, 00:00
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom