babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,288
Akitoa maamuzi ya maombi ya dhamana hiyo leo Mei 15,2020 Jaji wa Mahakama hiyo Phocus Mkeha, ambaye alikuwa akisikiliza maombi ya dhamana hiyo, amesema mbunge huyo ana haki ya kupewa dhamana kwa masharti ya kusaini bondi ya Shilingi Milioni 50, na mdhamini wake bondi ya Milioni 10, pamoja na kushikiliwa passport yake ya kusafiria,.
Chanzo: Nipashe
Pia soma > Mbunge wa Kishapu, Suleiman Nchambi (CCM) mbaroni kwa kukutwa na Silaha 16 na risasi 536 - JamiiForums
My Take:Nchi hii sasa sheria za mahakama zetu naona zinatofautiana.,Wapinzani na Makada kesi zinaendeshwa kwa sheria tofauti naona.
Maendeleo hayana chama jamani.