NBC Ubungo mnatia aibu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBC Ubungo mnatia aibu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinyoba, Nov 22, 2011.

 1. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Habari zenu wana JF? Sina hakika Kama ni matawi yote ya NBC au ni hapa tu. Nashangaa kuona watu wamekaa chini sakafuni wazee na akina mama kusubiri foleni iende, inamaana wameshindwa kununua hata mabench watu wakalie hasa ukizingatia foleni ni ndefu? Mwisho wa kazi ni saa9 kamili mchana, hii nayo ni kero maana kutoka ofisini rasmi ni saa 9:30 sasa na wao wakifunga ofisi saa10 kamili kuna ubaya gani? Hili tawi la ubungo ni muhimu kwa wafanyabiashara wasafiri, ingefaa wafunge ofisi hata saa 12 jioni maana magari mengi yanafika Ubungo muda huo! Sikuhizi crdb kuna matawi yanafanya kazi hadi jumapili. Binafsi naona kama hawa NBC wapo nyuma sana sijui ninyi wadau mnasemaje?
   
 2. mwanamapinduko

  mwanamapinduko Senior Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  NBC ubungo ni kero kubwa nakubaliana na wewe. Mimi nilifunga akaunti yangu ya NBC, niko CRDB mlimani city usiwakumbatie achana nao.
   
Loading...