Kuna taarifa za sekunde kama 30 zilizopita kuwa jengo la NBC makao makuu almaarufu kama NBC Corporate linawaka moto.
Mlio jirani na eneo hili tufahamisheni tafadhali
Ok tunakusikilizia Chaku
Inasemekana kuwa hapo Corporate palikuwa na tatizo la umeme tangu juzi na kazi kadhaa zilisimama...Yes it is now confirmed kuwa ilikuwa ni fire drill testing.
hakuna moto wala cheche.
Kuwa utulivu hela zenu ziko salama na ndugu wetu wote wa pale wapo ok.
kazi njema
Inasemekana kuwa hapo Corporate palikuwa na tatizo la umeme tangu juzi na kazi kadhaa zilisimama...
Kwa kuzingatia hilo na wakisikia milio ya alarm ni rahisi wengi kuunganisha kuwa ni moto tu! Heri kama ni testing tu, pia nadhani ingekuwa vema wangewafahamisha staffs wote mapema kabla ya tests za namna hii, watu watavunja miguu sasa!
Hapo pekundu anzia hivi Ndugu wetu wote na pesa zetu ni salama. Usianzie pesaYes it is now confirmed kuwa ilikuwa ni fire drill testing.
hakuna moto wala cheche.
Kuwa utulivu hela zenu ziko salama na ndugu wetu wote wa pale wapo ok.
kazi njema
Yes it is now confirmed kuwa ilikuwa ni fire drill testing.
hakuna moto wala cheche.
Kuwa utulivu hela zenu ziko salama na ndugu wetu wote wa pale wapo ok.
kazi njema