NBC Corporate ni wazembe sana

Waombe FBME kazi ya marketing....you are good cacico :glasses-nerdy:
thanx my dear @RR! ila sipo hata kwenye hicho kitengo, I HATE KAZI ZA BANK nimejaribu tu kumsaidia mwenzetu kama anataka a better service!
 
nbc.....

Kuna jamaa yangu wiki iliyopita alikuwa analia wamekomba 1m kwenye akaunti yake

Hii bank inaelekea pabaya kuna jamaa pia juzi juzi hapa ameibiwa laki nane walikuwa wanachukua laki mbili mbili kidogo kidogo. Alipofuatilia aliambiwa kuna wezi wana hack ATM card za wateja, hawa wezi uweka memory card kwenye ATM machine na mteja akiweka kadi yake kwenye hiyo machine basi memory card uchukua taarifa zake na wao huweza kutengeneza kadi kama ya mteja. Nilijiuliza sana inawezekana vp wasiwe wafanyakazi wa bank? Sikupata jibu.
 
Mara nyingine zile kazi ambazo huzipendi ndo unazimudu sana......having a second opinion isn't that bad!

thanx my dear @RR! ila sipo hata kwenye hicho kitengo, I HATE KAZI ZA BANK nimejaribu tu kumsaidia mwenzetu kama anataka a better service!
 
kuna bank special zinadeal na corporate tu! mfano FBME BANK LTD! wanafungua tawi na head offices zao zitahamia kinondoni hapo karibu na ubalozi wa india! ila kwa sasa nendeni hamieni tawi lao kubwa la samora, pembeni ya azania bank, mimi boss wangu amefungua hapo! we dont regreat! tena tukitaka huduma ya haraka wanafanya cash collection na wanakufuata ulipo! ni expert wa CORPORATE! jaribu uone, nways pole sana!

Asante kwa ushauri.
 
Umeandikaje thread hii ukiwa kwenye foleni? Au ulienda juzi ndo unaleta uzi leo

Ha ha haaa nimeandika nikiwa kwenye foleni siku hizi sio lazima uwe na laptop ndio uandike uzi
 
Back
Top Bottom