Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,699
- 2,266
Au sio!
Wangeandika Kiswahili basi ieleweke. Lakini hata na Kiswahili chenyewe, ukifuatilia, kinakosewa sana, hata humu jukwaani!english siyo lugha yetu hivyo hamna tatizo hapo wangekosea Kiswahili hapo ningeelewa kinacholalamikiwa, mlengwa hapo siyo sisi bali ni english people na wataelewa tu.
Hatuna umeme mjue mnapoteza muda kwenye trivial things?
"English" shidaFurani=Fulani.