Kuna wafanyakazi wa kampuni moja. Wapo zaidi ya kumi wamejikuta hela zao zimetoweka katika mazingira ya kutatanisha katika akaunti zao Za NBC. Na kila mmoja kwa wakati wake alijaribu kufuatilia bila mafanikio.Ila walioibiwa wote ni wale wenye kadi mpya Za NBC.Je kuna mwanajamvi yeyote naye keshalizwa? Nawakilisha
Aisee sio NBC tu! Wiki iliyopita nami niliibiwa kwenye Account yangu ya CRDB mpaka leo bado nafuatilia, kuna watu walikuwa wanatoa hela toka kwenye Account yangu kwa kutumia EXIM bank, mpaka leo nafuatilia
na hao walioibiwa wanaweza ku-trace account zao mahali popote na ndio maana wamegundua kuwa wameibiwa mkuu.mSiogope jaman. kwa usalama wa pesa zako. na kujua kila kinachoendelea ktk akaunt yako 24/7 na teknolojia ya kibenk ya hali ya juu. tembelea FNB BANK. popote tanzania na upate kaunt yako leo. kwan una uwezo wa ku trace akaunt yako popote na wakat wowote.
mi binafsi nimewakubali sana hawa jamaa yaani hata ikitoka shs 10 ktk ak.unt yako unapata sms na email notificatiom.
Kiukweli hii habari inasikitisha sana wengi wameibiwa sana na siyo hapa nchini tu, vilio hivi vipo sana sehemu nyingi na sisi wenyewe wateja inatubidi tuwe makini unamkuta mtu anachomeka ATM card kuomba kudraw fedha na anaomba apatiwe list baada ya huduma ile list anaitupa kwenye kapu la taka, sasa wenzio watatumia hivyo vilist vyetu kuweza kusaidi kuingilia kwenye account yako. Jamani ukiomba list ondoka nayo kama huitaki bora usiombe kabisa.
mSiogope jaman. kwa usalama wa pesa zako. na kujua kila kinachoendelea ktk akaunt yako 24/7 na teknolojia ya kibenk ya hali ya juu. tembelea FNB BANK. popote tanzania na upate kaunt yako leo. kwan una uwezo wa ku trace akaunt yako popote na wakat wowote.
mi binafsi nimewakubali sana hawa jamaa yaani hata ikitoka shs 10 ktk ak.unt yako unapata sms na email notificatiom.
Ushamba na ulimbukeni unakusumbuwa wewe.Risiti (au Receipt) mkuu
Kuna kitengo ndani ya
bank kinaitwa "Risk Management" hao ndio wezi balaa hao watu,yani
wanapitia kila accoount wanacholopoa mia hadi buku 2000 sasa wakifanya
hvyo kwa wateja 500,000? Ni sh ngapi wanaingiza kwa mwezi kwa wizi? BOT
mmelala tu na mmekalia politiki wenzenu wanatuibia!! Ukitaka kujua
mabenk wanaiba we ulizia bank statement ya mwezi tu halafu angalia
makato yako yani utakuta kwa mwezi kalipia elfu 7 hadi kumi haionekani
ilipo!!
Ushamba na ulimbukeni unakusumbuwa wewe.