Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,646
Wakuu matokeo ya CPA inasemekana yatatoka kesho mchana. Kwa kuwa kawaida yanatakiwa yatoke alhamisi ama ijumaa ya wiki ya mwisho lakini habari za ndani zinasema yatatoka leo kwa kuwa taratibu zote zimeshakamilika haina haja ya kusubiri ijumaa (kwa kuwa alhamisi ni sikukuu)