NBAA new syllabus

NBAA new syllabus

Alafu nilivyoenda bodi waliniambia na ada zimebadilika hadi regustration fee na July ndio watatoa.. Ina maada hata malipo yamepanda.. Najuuta kuchelewa kufanya pepa.
kuna waliowahi na zimewakaba mpaka leo. ACCA tatizo ni gharama na ninadhani CPA itatambulika zaidi kutoakana na paper kuongezeka.
 
Na acca chuo kipo wapi

kwani ndugu cpa chuo kipo wapi ujuavyo.ok.hivi si vyuo bali ni board zinazodhibiti na kuweka assurance ya wataalamu wa uhasibu na ukaguzi.
huwa wanakuwa na watu ambao ni tuition provider waliokuwa registered na bodi.kazi ya bodi ni kupima kwa mtiani mtahiniwa.
 
ACCA hivi ni how much gharama sana ama???

Initial registration ni £79
Annual fees/subscription ni £81
Ukiwa na exemption inabidi uzilipie hizo exemptions.
Pia gharama ya exams zinatofautiana na levels pia ukilipia mapema au late. kwa kifupi siyo chini ya £65 per exam.
ACCA gharama yake si mchezo. Huh!!
 
ACCA nenda financial training center karibu na CBE ila ada zao balaaa
 
Initial registration ni £79
Annual fees/subscription ni £81
Ukiwa na exemption inabidi uzilipie hizo exemptions.
Pia gharama ya exams zinatofautiana na levels pia ukilipia mapema au late. kwa kifupi siyo chini ya £65 per exam.
ACCA gharama yake si mchezo. Huh!!

Shukrani vipi nao registration zao ni july kama nbaa ama??
 
wadau nimemaliza bcom-account pale mliman mwaka juzi 2012, sasa nataka nisome CPA kuanzia november mwaka huu, na nasikia kuna syllabus mpya, masomo gani yatanihusu. plz msaada
Mkuu unakumbuka Seminar Ya Mwisho ya Suluo alivyohimiza tukasome CPA
 
Pambaneni wakuu!..ndo maana ya profession hiyo..lazima uisotee
 
Back
Top Bottom