I'm feeling sorry for the guy(James). Timu haiwezi kushinda championship kwa kumtegemea mchezaji mmoja. Yale yale yaliyokuwa yakimsibu Kevin Gannet wakati alipokuwa Timberwolves ndo yanayompata huyu bwana.
Kuna tetesi huko kwenye mabulogu kwamba Delonte West (teammate wa Bron Bron) anamega mama 'ake na LeBron na yeye Bron aligundua hivyo kabla ya game 4, Inavyosemekana hii ndio ilyosababisha jamaa kucheza vibaya ktk mechi zilizobakia. Sijui kuna ukweli kiasi gan ktk tetesi hizi lakini habari ndio hiyoooo
Nadhani hujakosea lakini mimi naona mshindi katika series kati ya Orlando na Celtics na kama ataweza kumaliza salama bila majeruhi kwa star players basi huyo ndiye nampa nafasi kubwa ya kunyakua ubingwa mwaka huu, lakini Kobe's very determined to repeat na Phil Jackson ana uzoefu mkubwa kuliko makocha wote wa timu tatu zilizobaki. Hivyo Lakers wana advantage kubwa kulinganisha na timu nyingine.
Kuhusu King James kuna uvumi mwingi tu, wengine wanadai kwamba hakucheza vizuri kwa sababu anataka kwenda New York, New York msimu ujao kama free agent. Hivyo kama angecheza vizuri na labda kuweza kuchukua ubingwa ingekuwa ngumu sana kwa yeye kwenda timu nyingine bila kutetea ubingwa wao, labda ukweli utakuja kujulikana au atabaki nao mwenyewe kwa miaka mingi ijayo.
Michael Jordan aliposhinda ubingwa hakuitwa King, wala Kobe wala Magic Johnson na wengineo wengi, ni jina tu ambalo wapenzi wake wameamua kumuita whether atashinda ubingwa au la.
SMH This is pretty gross. Rumor has it that the real reason Lebron James season ended this week is that just before Game 4 in the Cavs playoffs series against the Boston Celtics, he learned his mother, Gloria James, has been getting chopped down by his friend and teammate Delonte West. Pop the hood for details.
According to sports gossip site Terez Owens, sources are saying the Cavs chemistry was blown to bits after Lebron learned his friend Delonte is a real motherfu*ker:
My uncle is the general contractor at the Q and has been for the last 7 years. Hes good friends with a lot of guys at the Q, including some of the bigger boys in the organization and knows (Cavs owner) Dan Gilbert personally. My uncle has been told that Delonte has been banging Gloria James (Lebrons Mom) for some time now. Somehow Lebron found out before game four and it destroyed their chemistry and divided the team. I am not making this up, I wish it wasnt true but it happened. .
SMH… This is pretty gross. Rumor has it that the real reason Lebron James' season ended this week is that just before Game 4 in the Cavs playoffs series against the Boston Celtics, he learned his mother, Gloria James, has been getting chopped down by his friend and teammate Delonte West. Pop the hood for details.
According to sports gossip site Terez Owens, sources are saying the Cavs chemistry was blown to bits after Lebron learned his friend Delonte is a real motherfu*ker:
"My uncle is the general contractor at the Q and has been for the last 7 years. He's good friends with a lot of guys at the Q, including some of the bigger boys in the organization and knows (Cavs owner) Dan Gilbert personally. My uncle has been told that Delonte has been banging Gloria James (Lebron's Mom) for some time now. Somehow Lebron found out before game four and it destroyed their chemistry and divided the team. I am not making this up, I wish it wasn't true but it happened. ."
i agree,kama ni kweli....Naona kuna watu wanahamisha upuuzi mwingine wa forums za wamarekani ambao kuna mhatres wanaomwita le queen.le broom etc,wapuuzi tu hao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.