NBA draft 2021 vipi?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,846
2,000
Naona mabadiliko Sana. D league imepanda chat sana.

Wale watu wa NBA anything to say?

Sioni uzi wa NBA..
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,074
2,000
D league kuna wachezaji wazuri sana wengine kuliko hata walioko NBA. Nimemuona Mkongo kutoka D league amekuwa drafted ná Golden States Warriors.

Nilicho shangaa huu utaratibu wa Ku draft kutoka D league..ulikuwepo??Au umeanza juzi?....

Halafu USA Olympic kama wanazidiwa..
Big 3 sijawaona hata top 7..
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,074
2,000
Sikuwahi kuona wacheza wa D league kushiriki kwenye Draft. Ninachojua timu za D league ni kama timu B za timu za NBA nadhani zinafadhiliwa na timu za NBA na hata baadhi ya timu huchukua wachezaji kule au huwapeleka kule ili wakapate playing time na hivyo kugangamara lakini hii ya jana imenishangaza. Nafasi ikiruhusu nitafuatilia.
Nilicho shangaa huu utaratibu wa Ku draft kutoka D league..ulikuwepo??Au umeanza juzi?....

Halafu USA Olympic kama wanazidiwa..
Big 3 sijawaona hata top 7..
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
42,857
2,000
Basket imenipita kushoto ila nikiona thread ya Draft na NBA au D-league namkumbuka TOLU alivyobutua na kudumbukiza shilingi chooni.
 
  • Love
Reactions: BAK

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,074
2,000
Lonzo ball ni restricted free agent anaweza summer hii akahamia timu nyingine kutoka New Orleans Pelicans kama timu zitakazomtaka zitampa pesa ndefu na timu yake kama haitamatch pesa hiyo mdogo wake yuko Charlottes timu ambayo owner ni Michael Jordan.
Lonzo na Lamelo imekuwaje?Siwasikii tena
 
Kocha Mkuu

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,864
2,000
Nilicho shangaa huu utaratibu wa Ku draft kutoka D league..ulikuwepo??Au umeanza juzi?....

Halafu USA Olympic kama wanazidiwa..
Big 3 sijawaona hata top 7..

Sasa hivi draft prospects wanapewa options za kuchagua either kubaki chuo au kujoin D League.
 
Kocha Mkuu

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,864
2,000
So naona college basketball itapungua chat..
D league na hao kina Lamelo wataongezeka..

Changamoto ya college ni malipo, vijana hawalipwi hata shilingi, ila tunakoenda wataanza kuwalipa, mfano ni siku chache zilizopita wamepitisha makubaliano kwamba wachezaji wa college wanaruhisiwa kusaini endorsements, kitu hii haikuwepo
 
Naona global basketball imekuwa sana..
Mfano big 3 .. USA kwa wanaume hawapo hata top 7 ya Olympics..
Wachezaji wa nje ya USA watakuwa wengi sana NBA
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
123,074
2,000
Sidhani kwani bado ushindani ni mkubwa sana college basketball na mwakani au 2023 nao wataruhusiwa kulipwa pesa nzuri. Sasa hivi pamoja na kuingiza billions in $ hawalipwi chochote zaidi ya scholarships wanazozipata.

So naona college basketball itapungua chat..

D league na hao kina Lamelo wataongezeka..
 
Kocha Mkuu

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,864
2,000
Naona global basketball imekuwa sana..
Mfano big 3 .. USA kwa wanaume hawapo hata top 7 ya Olympics..
Wachezaji wa nje ya USA watakuwa wengi sana NBA

Ni kweli kabisa hata ukiangalia NBA sasa hivi utakuta wengi wakali kutoka nje ya USA.

Mwaka huu top 5 kwenye MVP ilikuwa na watu 3 kutoka nje ya USA (Nikola Jokic, Joel Embiid na Giannis (Greek Freak).

Defensive Player of the year ni Rudy Gobert, naye ni kutoka France.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom