Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
huko uliko unakoandikia hizi meseji, kwenu wewe na waliopo huko
Sisi huku kwenye NBA ya kwa Mtogole tumeshamaliza zamaani..
huko uliko unakoandikia hizi meseji, kwenu wewe na waliopo huko
je kuna mtu ana taarifa kuhusu yule mbongo mwingine Martin Kolikoli? Hongera Hasheem we are all very proud of you !! Keep up the good work!
Saaaaafi sana...
Mafanikio yako Hasheem yanatokana na sera nzuri za CCM kwenye michezo.....hahahahahah namsubiri Mkuchika ...
duh!! usitake kuniacha hoi hapo ila usijeshangaa wakina Mkuchika na mwenzake Joel bendera wakasema maneno hayo tena mbele ya press conf..wabongo hatuna dogo...
Hasheem was drafted 2nd by the Memphis Grizzlies habari zaidi ya video kongoli hapa chini
Grizzlies Select Thabeet - NBA Videos and Highlights
ALL he Best Hasheem!