Nazimaindi Sana Hizi Kitu....

Nazimaindi Sana Hizi Kitu....

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Umasikini otherwise ningenunua moja kama hii......

boat1.jpg
 
Kwa umri wangu na busara zangu hilo haliwezekani.....thanks but no thanks!
Mkuu maana yangu ni kuwa hangaika kwa uhalali lakini ipo siku Mwenyezi Mungu atakujalia na wewe kuwa nayo
Naamini utu uzima wako ni heshima tosha mkuu kubeba sembe waachie wale ambao wanatafuta maisha ya mteremko kama wa baiskeli kwenye mlima
 
Hahaha...piga kazi na kuwa innovative, kila kitu kinawezekana in the name of hard workin
 
Anza mazoezi ya riadha kama filrbeti bai,,utatoka tu
 
unajitahidi tu unapanda hizo mega yatch za kina Abrahamovic ,bill gate
 
Back
Top Bottom