Nazidi kuwa na hofu juu ya mwaka 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nazidi kuwa na hofu juu ya mwaka 2012

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitonye, Dec 20, 2011.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  kadiri siku zinavyosogea kuelekea mwaka 2012 nazidi kuwa na hofu kwa sababu ya mambo yanayoendelea ulimwenguni ikiwa ni mapinduzi katika nchi za kiarabu na mgogoro juu ya iran na marekani, mwaka huu umetabiriwa mambo mabaya yaani napata hofu
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sijaliona la kukupa hofu hapa!
  Nilitegemea unaihofia Tanganyika yetu, na walafi wanaoinajisi!
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni mengi sana ila yakwetu nadhani ni mpaka 2015
   
 4. m

  mob JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,028
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  ni matumaini yangu kuwa Mungu mwenye rehema na neema atatuvusha kuuona mwaka wa 2012, ila kwa sisi tulio hapa tanzania/tanganyika/zanzibar maisha yanazidi kuwa mabaya na jinsi siku zinazidi matumaini ya kuwa mazuri hakuna.rai yangu kwa sisi wenye nchi tutafute plan B na huku mungu akiwa upande wetu hakuna linaloweza kuharibika
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  na baaaaaado
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Dec 20, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah! Hii topic haiko chit chatic aisee! :hat:
   
 7. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,611
  Likes Received: 1,752
  Trophy Points: 280
  nakubaliana na wewe kaka kwani ndo kwanza mambo hayajafika kwenya peak, tumekwisha
   
Loading...