Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
Wadau si nilileta kisa cha Mwanamke aliyewahi kunikataa? Basi jana kanipigia kaniambia huku analia kwa huruma, ana shida ya 100,000 anadaiwa kodi anapoishi, ili aongezee alipe.
Nilishikwa na huruma mno, na ukizingatia alikuwa analia kabisa, nikamtumia 100,000 kupitia line yangu ya simu.
Alinishukuru mno ila sikutaka shukrani. Anasema bado anapambana kutafuta hela ikiwemo gari, ili aje tufanye malengo, japo nina mke wangu kwa sasa. Nashindwa kujielewa kwa huyu binti, najiuliza nim block au nimuache ila nasikilizia bado!
Jamani sijamkubali ila alikuwa na shida na analia kabisa. Bado naangalia upepo unavyokwenda. Ni hayo tu!