Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 8,532 Reaction score 13,771 May 17, 2026 #21 Punguza stress mkuu
Emily magnus JF-Expert Member Joined Apr 7, 2026 Posts 821 Reaction score 1,501 May 17, 2026 #22 Sarcomere said: Hiyo kitu mimi huwa inanifikirisha Sana, Yani wanaume wengi ukiwaangalia wanaonekana wako chini ya miaka 40 lakini ndevu zao zina mvi Mimi niko 32 kuna kimvi kimoja icho kidevuni kila nikikichomoa kinatoka tena Click to expand... Utakoka wewe!
Sarcomere said: Hiyo kitu mimi huwa inanifikirisha Sana, Yani wanaume wengi ukiwaangalia wanaonekana wako chini ya miaka 40 lakini ndevu zao zina mvi Mimi niko 32 kuna kimvi kimoja icho kidevuni kila nikikichomoa kinatoka tena Click to expand... Utakoka wewe!
Emily magnus JF-Expert Member Joined Apr 7, 2026 Posts 821 Reaction score 1,501 May 17, 2026 #23 Joannah said: Ndevu zenye mvi ndio mpango mzima kikubwa ziweke smart,shave vizuri wee unakuwa sexy kinoma...ila zisiwe kama za mleta uzi tafadhali Click to expand... Mungu nibariki nipate movie kwenye ndevu chapchap. Au nibariki nipake brichi.
Joannah said: Ndevu zenye mvi ndio mpango mzima kikubwa ziweke smart,shave vizuri wee unakuwa sexy kinoma...ila zisiwe kama za mleta uzi tafadhali Click to expand... Mungu nibariki nipate movie kwenye ndevu chapchap. Au nibariki nipake brichi.
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,685 Reaction score 94,614 May 17, 2026 #24 Duuh mbona upo RAFU sana?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,555 Reaction score 74,358 May 17, 2026 #25 Dar Pale Veterinary Kuna Jamaa Alikuwa Na Style Kama Mleta Mada Tulikuwa Tunarahisisha Jina Tunamwita (Ndevu Nyomi/Ndevu Mtiti )
Dar Pale Veterinary Kuna Jamaa Alikuwa Na Style Kama Mleta Mada Tulikuwa Tunarahisisha Jina Tunamwita (Ndevu Nyomi/Ndevu Mtiti )
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,665 Reaction score 97,417 May 17, 2026 #26 Bahama yako kali mchawi ilo koti.