Nazeeka vibayaa jaman!

Nazeeka vibayaa jaman!

Hiyo kitu mimi huwa inanifikirisha Sana, Yani wanaume wengi ukiwaangalia wanaonekana wako chini ya miaka 40 lakini ndevu zao zina mvi

Mimi niko 32 kuna kimvi kimoja icho kidevuni kila nikikichomoa kinatoka tena
Utakoka wewe!
 
Ndevu zenye mvi ndio mpango mzima kikubwa ziweke smart,shave vizuri wee unakuwa sexy kinoma...ila zisiwe kama za mleta uzi tafadhali
Mungu nibariki nipate movie kwenye ndevu chapchap. Au nibariki nipake brichi.
 
Dar Pale Veterinary Kuna Jamaa
Alikuwa Na Style Kama Mleta Mada
Tulikuwa Tunarahisisha Jina Tunamwita
(Ndevu Nyomi/Ndevu Mtiti )
 
Bahama yako kali mchawi ilo koti.
IMG_8660.jpeg
 
Back
Top Bottom