MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,050
maswali magumu hayaMbitiyaza ndo wewe hapo kwenye picha
maswali magumu hayaMbitiyaza ndo wewe hapo kwenye picha
hahaa kweli leo nimeamini mapenzi hayana dawa hadi mtu mzito mshana jr na mizizi yake kadata.
Hahahaaa
Nyumba ya chilan ni wapiiiKwa Haya Maneno
Nyumba Ya Chilan Huko Inawaka Moto
Kweli kabisa mapenzi hayana dawaaahahaa kweli leo nimeamini mapenzi hayana dawa hadi mtu mzito mshana jr na mizizi yake kadata.
Mfikishie ujumbe ndugu yangu. Mueleze nataka nimuimbie hivi. Akikataa. Sawa tu. Kuna wengine wengi wanaoipenda hii bakora. Ntaachia hapa!
Ulishapewa kimoko na cha mdeko?that moment
. ukiona manyoya?
Hahahaa.. mzee baba Mshanahahaa kweli leo nimeamini mapenzi hayana dawa hadi mtu mzito mshana jr na mizizi yake kadata.
hihihi tamu sanaHahahahaha lol! Kapiga busu hadi udenda!
nilitegemea sa hivi ameshakuweka kwenye chupa kila akitaka tu anafanya mambo yake unajipeleka mwenyewe.Kweli kabisa mapenzi hayana dawaaa