Nay wa Mitego Shika adabu yako' yamponza!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Akiwa njiani kuelekea Zilizo studio za East Africa Television Nay amevunjiwa kioo cha gari lake ni kioo cha nyuma! Nay alikuwa akienda kwenye interview kutangaza Video yake mpya ya Huo wimbo wa Shika adabu yako!

kitendo hicho kimemsikitisha sana nay wa mitego na kusema ndicho kilicho msababisha asitambulishe video yake leo

Kwa kua mziki sio Uadui ningependa kumshauri Nay ili watu washike adabu yao vizuri Angetoa Remix ya wimbo huu!

1456518082898-jpg.325880
 
picha ya gari yake
 
Attachments

  • 1456518082898.jpg
    1456518082898.jpg
    25.8 KB · Views: 338
Mi nimefurahi Neema alivyoshika adabu yake hadi ameshindwa kwenda kwenye intavyuu, halafu nimeshangaa kumbe anatembelea kaporte halafu anatudanganya anautajiri wa billion 1 na kitu
 
Hahahahaha
 
Pole kwa kushikishwa ADABU,maana si kwa mapovu hayo.
images
 
huyu jamaa dawa yake ni NIKKI MBISHI a.k.a NIKKI MBABE, kuna song alimwimbia hahaha mbn hyo adabu anayoisemea aliishika "jamani ney, amakweli maanani hakosei" NEYMA WA MITEGO "nikki njoo nyumbani si unajua sina dildo"
 
mshikaji alipaniki mbaya mpaka akawa anatuma za kumtukana nicki mbishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom