Nawezaje kuwa na furaha na amani ya roho?

...Furaha Yangu nikiiunganisha na kitu au mtu...siku.kikikosekana Nini kitatokea
Furaha ya muhusika ipo ndani ya muhusika mwenyewe ila tatizo wewe hujaikubali furaha yako sasa unataka furaha kutoka nje, so kweli tafuta mtu akukojoze haswa mpaka ulegee na hakika utaanza kugain pole pole
 
Hilo nalo litapita na kutakua na life after that as there was a life before that.
 
Tafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.

Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.

Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.

Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?

Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?

Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.

"Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress..."

Hapana. Labda kama unaongelea stress za kawaida tu siyo clinical depression au clinical stress. Haya mambo yana trigger nyingi na hayawezi kuwa na jibu moja kwa sababu kila mtu yuko tofauti na mwingine. Siyo wote wanaweza kuondoa stress/depression kwa kuangalia muvi za Kikorea ambazo hazijatafsriwa, kunywa maziwa na kujifungia ndani
 
Inabidi ujue chanzo cha tatizo lako,(underlying cause) then ndo utafute suluhisho. Jiulize mwenyewe hio hali imeanza lini, unaweza Pata chanzo cha tatizo lako.
Pia unaweza waona psychologist au viongozi wa kiimani wakakusaidia.
Hakika, akijua chanzo Cha Hali hiyo atapata ufumbuzi.
 
Pole bint,

Huwenda mimi nikawa tofauti na wale wote, waliokushauri,

Kinachokusumbua wewe umechoka kukaa home ukizingatia elimu unayo na kazi hakuna, kuna muda unahisi huenda ulipoteza muda kusoma na huenda baadhi ya marafiki zako uliosoma nao hukoo na wao wakaishia njiani kwa sasa hivi wana kazi nzuri na wengine wameoa au kuolewa. Pole sana

Wakati bado unao tena mkubwa sana Fanya hivi

Mimi binafsi huwa nasema ni bora kufanya kazi usiolipwa kuliko kukaa bila kazi, kwanini nasema hivyo?

Ukifanya kazi kama haulipwi, kuna mambo unayatengeneza, unaongeza ujuzi, watu wanakuona lakini pia kuna vishawishi vingi unapisha navyo ukiwa kazini.

Kama una rafiki ndugu jamaa au jirani ana kaofic kake nenda ukafanye kazi ukutane na mazingira tofauti yatakayokufanya utoke katika hiyo hali, lakini pia hicho utakachofanya kitakuongezea ujuzi haijalishi ulisomea au ndio unajifunza
Kiufupi moyo wako ni mpweke lakini pia upo upo tu hicho ndio kinakufanya uwe ktk hali hiyoo,


KARIBU NYUMBANI RAFIKI MWEMA

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Hii hali hunitokea once kila baada ya mwaka au miaka kadhaa na hamna kitu naweza kifanya kikaondoa stress zangu maana si TV, si kazini, si marafiki, si chochote kile na mara nyingi hujigundua nipo katika hiyo state usiku wakati wa kulala.

Nikifika kitandani usingizi hauji, nitajigeuza huku na kule ila wapi, kulala staki, kukaa staki, kusimama staki, naanza kutembea naenda sebleni, chumbani, narudi jikoni naenda chooni nazunguka nyumba nzima, hali naonaga inazidi tu kuwa mbaya.

Ninachofanya huwa nafungua kabati natafuta nguo navaaa (kumbuka huo ni usiku inaweza kuwa saa 8 hata) nachukua viatu navaa, natoka nje sichukui usafiri wowote wala sibebi simu.

Naanza kutembea kufata barabara ya LAMI au barabara yoyote ile iliyonyooka natembea natembea natembea (sijui niendapo) natembea naenda safari yangu itaishia pale miguu itakaposema imetosha yani imechoka, basi hapo hapo nikishachoka kuendelea naanza kurudi nyumbani kwa kutembea.

Natembea narudi nyumbani taratibu mpaka nafika home nimechoka sana, nikiingia tu sebleni najilaza hapo hapo chini najinyoosha nalala usingizi unanichukua, nikija kuamka nikioga basi najikuta ile hali imepotea au kupungua.

Kwa hiyo njia pekee niliyoithibitsha inayoweza ondoa hii hali ni kuuchosha mwili, najua huwezi fanya mazoezi kwa hali uliyonayo ila amka tembea tu, we tembea nenda huko fata barabara kama mtu aliepotea njia, mpaka miguu ichoke nakuhakikishia ukirudi nyumbani kichwa itakua mpya na utaweza kuendelea na maisha tena.
 
Kutokuwa na furaha na amani ya moyo mimi naona inatokea pale unapokuwa una miss vitu fulani material things na hata social connection..Bila ku-figure out kinachomiss ni kazi sana kushauri..

Pole
 
Mwanangu tambua DUNIA ya leo ndivyo ILIVYO

Achana na kuwaza kufarijiwa

Mapenz ??
HUU NI ukoma KAMATA DEMU CHUKUA MUWEKEE MWAAAA

CHA MSINGI TAFUTA PESA USIPALE KOMAA HASWAAA

JICHANGANYE KJN

PIGA MISHE YEYOTE

MIE BINAFSI WANAWAKE SIJI KUWAAMINI TENA

ZAMA NA MABAHARIA SEHEMU YEYOTE KUWA HATA FUND ANZA NA SAIDIA USIJIFUNGE

WANAWAKE HAWANA UTAMU UTAMU TUNAO SISI KULE TWAFWATA UTELEZI TUU

UKIPATA 50 KAMATA MZUR,UKIPATA BUKU TANO PIGA SHOW TIME,UKIPATA JERO NUNUA HISPO PIGA NYETO

CHA MSINGI SAKA PESA
Duuuuh
 
Tafuta movie/ drama za kikorea ambazo hazijatafisiliwa,hutojuta ushauri huu.

Mm nikitoka kazini fasta home, napita sokoni , napitia maziwa. Nikifika ni movie na kula, kunywa, kuchungulia jf.hayo ndo maisha yangu.

Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress.kuna kipindi nilikuwa kama wewe sasa hivi nimezoea.

Wengine watakushauri utoke out. Ila najua sio rahisi utoke out kufanya nini?

Wengine watakwambia utoke na marafiki. Marafiki wapi? Wakati mmetoka kazini mkaenda home utoke kwa lipi? Mkifika huko mfanye nini wakati umeshiba?

Poole dia hiyo hali naijua huwa haielezeki.
Mimi nikiwa nina hiyo hali hata kutoka siwezi, natoka tu ikiwa chanzo cha tatizo ni hapo home nilipo, hapo huwa natamani hata kuhama nyumba

Naepuka kwa vyovyote mtu anayenisababishia hiyo hali, hata kama ni mtu ambaye naona ni muhimu kuliko wote, kama ananikosesha amani, namuepuka kabisa.

Hiyo ni hali mbaya isiyoelezeka
 
Furaha ya muhusika ipo ndani ya muhusika mwenyewe,ila tatzo ww hujaikubali furaha yako ss unataka furaha kutoka nje,so kweli tafuta mtu akukojoze haswa mpk ulegee nahakika utaanza kugain pole pole
Asante mkuu ntamtafuta...
 
"Hii ndo njia pekee ya kupunguza stress..."

Hapana. Labda kama unaongelea stress za kawaida tu siyo clinical depression au clinical stress. Haya mambo yana trigger nyingi na hayawezi kuwa na jibu moja kwa sababu kila mtu yuko tofauti na mwingine. Siyo wote wanaweza kuondoa stress/depression kwa kuangalia muvi za Kikorea ambazo hazitafsriwa, kunywa maziwa na kujifungia ndani
Mkuu Sina depression...Au sononi..Bali Nina sikitiko ndani ya roho coz ya Mambo mbalimbali yanayoniandama...
 
Mkuu natumai upo.pouwa...kabisa...Nimefurahi kuona comment yako
Basi
Jitahidi Walau 😀Tupate Mrejesho Hasa Tuanzie Mwili
Umepungua, Usiende Mnadani!🤨😑
Halafu Haitakuwa Vibaya 🤩😍😘Tukijua Baada Ya Shanga
Ulikuwa Mzito Sana
MB =(Mjumbe Wa Bunge)
🤩😘😋😍😊
 
Nishakuelewa ugonjwa wako.
Hata mimi nilikuwa na ugonjwa kama huo.
Huwa ugonjwa unasababishwa na loneliness/antisocial behaviour.
Inawezekana mazingira uliyolelewa ulikuwa hupati nafasi ya kujichanganya na watu ambayo hiyo hali imeendeleza upweke ambao ndio unakusumbua hadi leo.
Dawa ya huo ugonjwa ni kujichanganya na watu mbalimbali kwa mfano hata kama hunywi pombe sio mbaya mara moja moja kujichanganya na marafiki kwenda sehemu za kurelax inaweza kuwa beach au pub au kwenye mahotel.
Mimi hiyo hali huwa inaondoka nikitoka nyumbani na kujichanganya na watu pamoja na kusafiri sehemu mbalimbali.
Chukua hatua
Bora nimegundua kitu aiseee
 
Basi
Jitahidi Walau Tupate Mrejesho Hasa Tuanzie Mwili
Umepungua, Usiende Mnadani!
Halafu Haitakuwa Vibaya Tukijua Baada Ya Shanga
Ulikuwa Mzito Sana
MB =(Mjumbe Wa Bunge)
Shanga Sijawai tumia
.nlikua Nauliza TU.mkuu..Ila mwili nimepungua kilo Moja TU mkuu..ila sijakata tamaa
 
Hio hali inawapata wengi.

Njia ya movies iliyotolewa ni nzuri ila kuna mood haziendani na movies

Muziki pia unasaidia sana. Kama hujui radha yako basi jaribu ya aina tofauti hata reggae, japo unakua hauhitaji usumbufu wa aina yoyote jitahidi.

Njia ya kuuchosha mwili ipo vizuri sana maana utapata muda mzuri wa kusinzia ila kama hujaizoea basi utaamka na mood yako ile ile

Kwa akiba pesa ya 2000 au kiwango chochote ulichonacho. Unapanda daladala ile yenye ruti ndefu kaa dirishani enjoy mandhari ya eneo ulipo.mpaka mwisho wa safari. Tafuta duka kaa nunua kinywaji ukipendacho tulia,angalia watu na mishe zao,angalia furaha zao kwa namna tofauti ya kuhisi wanakucheka,kukuonea huruma etc

Cha msingi ni kuicontrol akili yako tu au mawazo yako japo ni ngumu ila penye nia pana njia. Tafuta kitu KIMOJA AU VIWILI vitakavyokufariji vile ukiviona unapata kafuraha.
 
Back
Top Bottom