Nawezaje kuwa Kijana Mwenye Mvuto?

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,725
2,000
Appreciated!,

Nashukuru sana mkuu. Will try out ninachoweza kufanya.

Inawezekana watu wamenielewa tofauti, niliposema "mvuto" nilimaanisha kuondoka kile kiushamba flani hivi...but all the same umesaidia.
Karibu Sana Dar es salaam, nyanda.😂😂😂 Alafu usiulize michembe,huku hakuna.
 
BobUpanga

Member
May 24, 2020
62
125
Punguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.

Ukiwa kitaa piga jeans zisizopwaya sana wala zisikubane, piga shots, vaa t shirt zisizo na kola.... Kwa kuwa ni mweusi epuka nguo za kung'aa sana na nyeusi tupu. Pendelea kuvaa saa nzuri na viatu simple tu (macho ya wengi huwa kwenye saa na viatu)....

Kama kazini piga surual za kawaida kadeti, vitambaa vya kawaida ila si vyepesi sana, usipiga pasi ukaweka upanga (old style). Weka kiatu standard tu ila kisipauke wala kuchakaa kuwa na pair hata 3. Vaa mashati yanayoendana na mwili wako yasikupwaye. Yasikubane sana kitambi kikaonekaba. Kama unachomekea epuka kuvaa tai mara kwa mara. Kama unachomolea angalia shati lisiwe refu sana lisizidi eneo la uune wako mpaka chini.

If your face sio ile nzuri sana nakushauri ondoa hiyo "O" sometime inaleta uzushi flani baki na low cut mustache na mzuzu wa kiasi..... Ukiongea usifungue mdomo kama una hutubia.... Safisha macho yangu yawe angavu.

Mwendo: Jitahidi kutembea as a teacher, mwondoko wa heshma na uwe stable sio unatembea kama umetoka kuvua kware mikono unarusha rusha. Do you know kun manager walk?

Kuangalia watu: kama unaongea na mtu epuka kumkazia macho sana kama unamdai tend to roll you eyes sehemu nyingine. Usiweke stick mdomoni kwako wakati wa maongezi.

Kaa kwenye kiti: usijbinue kama una ugonjwa wa bawasiri, be straight chapa hata nne za kiume.

Handshaking: ukisalimiana na mtu mpe mkono wako full, shake then utoe usikae sana akabororeka....

Kuwa na vitu vidogo vidogo hengachif, saa, cheni ndogo....

Kunyoa: achana na maviduku, ukinyoa low cut angalia usichongwe kama mnajenga msingi....

Use the right cosmetics: usitumie mavipodozi ya kukuchubua. Tumia vya kiume.

Ukiongea: Usiwe mpayukaji control your voice, angalia usirushe mate, cultivate ur smile all the time. Agree to disagree usiwe mbishi kama muha au msukuma.

Practise your walk.... Usidundike kihuni.

All in all find the good company.... Na kama wewe sio mlevi usiwe na kampani ya walevi....

Time will heal..... Good lucky champ...
Hata mimi nimepata kitu hapa. Thnx
 
geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
465
500

mkuu nimekupata vzr. nadhan huu ni ustaarabu wa maisha tu ambao kimsingi unajengwa kwa muda mrefu na inapendeza kuanzia kujengwa tangu utotoni. mimi nimekulia familia ya kipato ya kawaida saaaaana lkn kuna vitu mzee alikua anatufundisha tangu watoto leo hii naona tofauti kubwa ya vitu vingi ambavyo kiujumla wake vinatengeneza personality, mfano mdogo wkt tunakula ni vigumu kwetu kuona chakula hata punje moja tu imeanguka chini au mezani, kula kama mbwa yaani unakula huku mdomo upo wazi matokeo yake unatoa sauti fulani very disgusting, una kula unagonga gonga sahani na kijiko au unagonga kikombe na kijiko unapokoroga sukari. Pia kwenye mavazi. rangi na vipimo vyake vinaweza kukutofautisha sana. kuna ndugu yangu kiukoo tuliishi nae sasa kwny rangi za mavaz ilikua vituko mpaka mzee akaingilia kati, kwake kumkuta kavaa soksi nyekundu na suruali nyeupe ilikua kawaida alaf kiatu katupia cheusi just imagine anavyoonekana. ngoja niishie hapa lkn ukweli kama vitu ulivyovitaja hana basi ana safari ndefu ya kujifunza ila inawezekana kama ana nia ya dhati
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,143
2,000
Duuh mwanaume kabisa unatamani kua na mvuto?? Umvutie nani sasa??

Halafu ugetlemen sio mavazi tu mkuu hata vile unabehave tu ni uanaume tosha kabisa. Vaa kawaida tu, wati watavutiwa kwa matendo yako.

Hii ya kutaka kupendeza na kunukia hii itakupeleka pabaya mkuu tena dar hii kuna viumbe wanatongoza watu wa jinsia yao bila aibu kaa chonjo..
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
8,061
2,000
Punguza uzito kidogo..... Otherwise tafuta nguo zinazoendana na wewe.

Ukiwa kitaa piga jeans zisizopwaya sana wala zisikubane, piga shots, vaa t shirt zisizo na kola.... Kwa kuwa ni mweusi epuka nguo za kung'aa sana na nyeusi tupu. Pendelea kuvaa saa nzuri na viatu simple tu (macho ya wengi huwa kwenye saa na viatu)....

Kama kazini piga surual za kawaida kadeti, vitambaa vya kawaida ila si vyepesi sana, usipiga pasi ukaweka upanga (old style). Weka kiatu standard tu ila kisipauke wala kuchakaa kuwa na pair hata 3. Vaa mashati yanayoendana na mwili wako yasikupwaye. Yasikubane sana kitambi kikaonekaba. Kama unachomekea epuka kuvaa tai mara kwa mara. Kama unachomolea angalia shati lisiwe refu sana lisizidi eneo la uune wako mpaka chini.

If your face sio ile nzuri sana nakushauri ondoa hiyo "O" sometime inaleta uzushi flani baki na low cut mustache na mzuzu wa kiasi..... Ukiongea usifungue mdomo kama una hutubia.... Safisha macho yangu yawe angavu.

Mwendo: Jitahidi kutembea as a teacher, mwondoko wa heshma na uwe stable sio unatembea kama umetoka kuvua kware mikono unarusha rusha. Do you know kun manager walk?

Kuangalia watu: kama unaongea na mtu epuka kumkazia macho sana kama unamdai tend to roll you eyes sehemu nyingine. Usiweke stick mdomoni kwako wakati wa maongezi.

Kaa kwenye kiti: usijbinue kama una ugonjwa wa bawasiri, be straight chapa hata nne za kiume.

Handshaking: ukisalimiana na mtu mpe mkono wako full, shake then utoe usikae sana akabororeka....

Kuwa na vitu vidogo vidogo hengachif, saa, cheni ndogo....

Kunyoa: achana na maviduku, ukinyoa low cut angalia usichongwe kama mnajenga msingi....

Use the right cosmetics: usitumie mavipodozi ya kukuchubua. Tumia vya kiume.

Ukiongea: Usiwe mpayukaji control your voice, angalia usirushe mate, cultivate ur smile all the time. Agree to disagree usiwe mbishi kama muha au msukuma.

Practise your walk.... Usidundike kihuni.

All in all find the good company.... Na kama wewe sio mlevi usiwe na kampani ya walevi....

Time will heal..... Good lucky champ...
Kweli wewe ni Mhandisi Mzalendo 🤣🤣🙌🙌
 
Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
4,784
2,000
mkuu nimekupata vzr. nadhan huu ni ustaarabu wa maisha tu ambao kimsingi unajengwa kwa muda mrefu na inapendeza kuanzia kujengwa tangu utotoni. mimi nimekulia familia ya kipato ya kawaida saaaaana lkn kuna vitu mzee alikua anatufundisha tangu watoto leo hii naona tofauti kubwa ya vitu vingi ambavyo kiujumla wake vinatengeneza personality, mfano mdogo wkt tunakula ni vigumu kwetu kuona chakula hata punje moja tu imeanguka chini au mezani, kula kama mbwa yaani unakula huku mdomo upo wazi matokeo yake unatoa sauti fulani very disgusting, una kula unagonga gonga sahani na kijiko au unagonga kikombe na kijiko unapokoroga sukari. Pia kwenye mavazi. rangi na vipimo vyake vinaweza kukutofautisha sana. kuna ndugu yangu kiukoo tuliishi nae sasa kwny rangi za mavaz ilikua vituko mpaka mzee akaingilia kati, kwake kumkuta kavaa soksi nyekundu na suruali nyeupe ilikua kawaida alaf kiatu katupia cheusi just imagine anavyoonekana. ngoja niishie hapa lkn ukweli kama vitu ulivyovitaja hana basi ana safari ndefu ya kujifunza ila inawezekana kama ana nia ya dhati
Kweli mzee.... Hivi vitu tunaonywa tokea watoto na ukiangalia watu waliokuzunguka utaendana nao tu..... Ila muda ni kitu sahii ukikipa muda....
Kuna ishu zinafundishika tu ukubwani...

Tuelekezane
 
Bamileck

Member
Jul 26, 2021
20
75
Una kilo 80 ?
Unazoezi lolote unalofanya kama kukimbia ,moira,gym au pushups?

Kama huna mazoezi yoyote anza mazoezi fasta kwanza
 
Tall Guy fam

JF-Expert Member
Jan 16, 2017
842
1,000
1. Jenga mwili: piga gym.

2. Vaa nguo safi zinazo "fit" mwili.

3. Nyoa vizuri nywele, chonga ndevu.

4. Zingatia usafi wa kinywa na mwili.

Ukifanya hivi vitu vinne TU, utakua kwenye raiti traki
 
Cpp

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
501
1,000
Rangi-mweusi kabisa
Urefu -167 CM (5.6 Ft)
Uzito - 80Kg

Nywele ni nyingi za kawaida tu ila zinakua kwa kasi (nanyoa kila baada ya wiki mbili)

Ndevu ni zile za O (kuzunguka mdomo)

Hapo mkuu naamini umepata picha
Mzee kwa huo urefu na uzito wewe ni overweight. Jaribu kwanza kumaintain uzito wako normal weight yako inabidi iwe 51 to 70kg! Nyama zikizidi bila ya mpangilio huwezi kuwa na mvuto
 
T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,051
2,000
Mzee kwa huo urefu na uzito wewe ni overweight. Jaribu kwanza kumaintain uzito wako normal weight yako inabidi iwe 51 to 70kg! Nyama zikizidi bila ya mpangilio huwezi kuwa na mvuto
Kilo 51 unakuwa umekonda. Kilo 63 to 70 kwa urefu wake ni sawa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom