Nawezaje kuupdate android phone bila kusubiri official update

Nawezaje kuupdate android phone bila kusubiri official update

Kama hiyo simu uli root na ukaifanyia modification katika system, swala la update sahau, chakufanya jaribu ku unroot kisha restore hiyo simu, au ukai flash maana ndiko unakoelekea now.
 
Na hiyo OTA ni kama ina fix bugs tu sio kwamba itabadili android version...
 
Simu yangu ni wiko jelly marshmallow new update sjui kwa tecno
 
de7ee6d5e8f1429c03356f7f8f6bf4e0.jpg
c1ec78cfcfd2467300faab4c114078b4.jpg
 
Je naweza weka 4g network ktk simu hii ikiwa rooted
Huwezi
Sawa mkuu...so niki iflash..nikifanya update ita upgrade android vission
Android version Tecno walitoa kwenye simu moja tu Tecno C8.
Hizo unazo pokea wewe ni marekebisho tu soma hiyo namba 1 hadi 3 utaona hiyo update inafix nini kwenye simu.
Ukitaka kubadili version kutoka may be lollipop kwenda marshmallow kwa tecno labda utumie custom roms.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom