Nawezaje Kuunganisha Computer zaidi ya moja kwenye internet?

Nawezaje Kuunganisha Computer zaidi ya moja kwenye internet?

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
habarini wakuu


a) Msaada naomba kusaidiwa ni namna gani naweza kuunganisha internet katika computer zaidi ya 20, je kuna njia ipi mbadala itakayorahisisha jambo hili ? kwani nataka kufungua internet cafe.

b) Nisaidieni ni namna gani naweza kuunganisha computer na laptop kwa internet ili nisitumie hizi moderm?
asante
 
cafe-network-setup-4.png

hotspot-network-setup.jpg
 
To explain what the pictures above means! Kuunga two or more computers to the internet kwanza unaunga one PC to the internet 'Server' in that case, baada ya hapo unaplug in kwene SWITCH ambayo ina port nyingi kwenda kwene computer zingine!! Configuration kidogo and your good to go, keep in mind namna utakavyounga internet kwene server either ni using modem au vipi ni juu yako!
Switches zina range bei kulingana na sizes kwanzia ndogo kabisa supporting around 5computers kwa around 60-70 thousand!! kwenda mpaka kwene large switches worth hundreds of thousand!
Next kwene pic hapo naona ROUTER, also inafanya wat the switch does ila ina uwezo pia wa kurusha wireless kwa other devices!! prices juu kidogo ya switches nazo kwanzia ndogo to large
 
Back
Top Bottom