Mvumbo
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 3,444
- 11,942
Habari wataalam,
Nina Tv flat ya solar pekee (hizi zinazokuja na vifurushi vya umeme wa jua kama Mobisol na Zola) Je, naweza kuongeza kifaa gani ili nitumie katika umeme wa ac?
Ni lazima nipate Inveter au hata adaptor kama hii inafaa?
Sina utaalam katika masuala ya umeme hivyo naombeni msaada wajuzi.