Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,271
- 2,401
Habari wadau. Kwa wanaojua hii device inayoitwa Alexa ni kama ilivyo siri kwenye iphone. Tofauti ni kwamba alexa ni independent device, haiko ndani ya simu. Ni kama kaspika fulani hivi, ambapo uninstall app yake kwenye simu yako na kuunganisha kisha mnaanza kuongea na alexa kwa ishu yoyote.
Pia kazi nyingine ya alexa ni kufanya kazi za nyumbani/ofisini katika mfumo wa remote control, mfano kuwasha taa, feni, alarm, redio, tv, na hata kupiga nae stori. Yote hii ni katika mfumo wa kuongea nae. Sasa kwa ishu ya nyimbo huwa anasema nyimbo zipo amazon na pia siwezi kuziaccess. Kwa wanaomjua alexa nawezaje kuplay nyimbo?