HumbleBoy98
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 386
- 392
- Thread starter
- #61
Sawa mkuu Asante sana.Nimesema ukifeli sio ukijifelisha!! yaan nimechukulia kwamba utakuwa umejishikiza mahali, lakini pia una ujasiriamali wako unafanya hivyo balance ya mambo yote matatu impact inaweza kuwa kubwa kwenye Masomo kuliko hayo mambo mengine mawili.
hivyo kufeli ni incase isiwe nia yako.
Kwa maelezo yako ni kwamba mzee anapendz uje kujiajiri baada ya Kusoma phamarcy wewe unataka Kujiajiri kabla; Hivyo wewe na mzee wako mna common Interest isipokuwa kwa muda tofauti hivyo kumwin kwa kitu nilichokwambia ni rahisi sana.