Nawezaje kurudisha TV channels zilizotoka kwenye decoder ya media com

Nawezaje kurudisha TV channels zilizotoka kwenye decoder ya media com

Mportugal

Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Poleni na majukumu wana Jf, ninashida! Wazee wangu wanapata shida kila mara kumuita fundi kijijini kwasababu ya channel kutoka na kurudi kwenye decorder ya mediacom, naombeni msaada wadau ili niwasaidie wazee wangu kijijini.
 
Kama settings za dish na lnb frequencies ziko poa basi fanya blind scan vinginevyo mafundi lazima wanywe bia.
 
ziko poa maana zinatoka na kurudi, nitawezaje kufanya hiyo blind scan? tafadhali bado nahitaji msaada hapo
 
Back
Top Bottom