Nawezaje kurudisha namba za simu nilizowahi kuwasiliana nazo?

chollemadulu

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
257
78
Salama wana JF weekend iwe nzuri kwenu mimi naitaji kujui njia gani ninaweza kutumia ili nipate zile namba ambazo nilikuaga nawasiliana nazo zamani mwenye kujua jamani anisaidie maana kunamawasiliano nimepoteza sasa labda naweza kuyapata kwa sitaili hiyo ni, hayo tu.
 
Ni rahisi sana..Ila simu uliyotumia kipindi hicho iwe na Facebook au Google.
 
Inategemea kama hizo namba ulizisevu au la!

Kama ulizisevu utazipata kwa contact recovery kupitia FB

Kama haukuzisevu hapo ni mtihani.
 
Back
Top Bottom