La Pronto
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 975
- 1,166
Habari wadau
Jana nimebahatika ku update facebook app kwenye simu yangu.....kwakweli hii version mpya kwenye simu yangu ni shida
Simu inastak hovyohovyo
Simu inakua slow
Fb app yenyewe inajifunga bila mpangilio
Sasa naleta kwenu wadau kama kuna namna naweza kurudisha ile version ya zaman tusaidiane!