Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,959
- 5,060
- Thread starter
-
- #41
PoaNjoo inbox kuna mti unaitwa mpachapacha huo uhakika kaka
OkayIngia katika AI hapo ndo utapata majibu ya uhakika
Kuna mikao wakati wa kungonoka, kuna mkao wa kutafuta mtoto wa kike, wa kiume na mapacha...Natoa darasa kuhusu hizo makitu na unalipia.Hi guys,
Nawezaje kupata watoto mapacha?, ikiwa kuna mtu ana uelewa juu ya jambo hili naomba kufahamishwa tafadhali.
Najua humu jukwaani kuna ma great thinkers wa kutosha.
Naomba kuwasilisha.
Dah huu mtihani itabidi niwahusishe na mababu, unataka kuwa tough sana.Bana mi nataka mapacha 😊😆
Hayo mengine sijui twin
KumbeKuna mikao wakati wa kungonoka, kuna mkao wa kutafuta mtoto wa kike, wa kiume na mapacha...Natoa darasa kuhusu hizo makitu na unalipia.
Nipo tayari kuwapokea na kuwalea kwa moyo mmojaUmfikirie na huyo mama maana kulea mapacha na kwenyewe sio mchezo
Mimi mwenye kwa sasa sihitaji mke wangu ajifungue mapacha aiseee kwanza ndani hakulaliki akilala huyu anaamka huyu Yani hata Ile nafasi ya kumgegeda mke wako inakosaUmfikirie na huyo mama maana kulea mapacha na kwenyewe sio mchezo
😅😅 sawaaaDah huu mtihani itabidi niwahusishe na mababu, unataka kuwa tough sana.
Mitano tena kwa BibiPacha Raha kama hutaki kubeba mimba mara nyingi, ila nilisikia mwanamke akila sana magimbi huleta pacha, sisi bibi alizaa pacha nne ila watoto wake hamna hata Mmoja mwenye pacha, ila wajukuu ni Mmoja TU ndo kabahatika Hadi sasa