bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,998
- Thread starter
- #41
Sasa
mkuu huko SI Kuna kafara za damu, kwa hiyo dini yangu natakiwa niache au?Kama spiritually umekufa ruksa mkuu,sasa tutakusaidiaje,si unataka mafanikio ya corner corner?Infact wanasema ukishakuwa Freemason,si kwamba utafadhiliwa tu,ila na wewe utakuwa mfadhili!Hii ina maana gani,kwamba wafadhili wote ni Freemasons?It seems so.