Nawezaje kupata wafadhili katika shule yangu?

ufadhili unafatutwa kwa matukio..... Hebu tafuta watu wasomi wa mambo ya biashara na uwekezaji au ujasiriamali watakuelekeza vizuri, kama ishi ni fundraising ili kuwashawishi sponsors na stakeholders kuna mambo ya kuandika mission, vision ya shule yako, plans na strategies ulizonazo kufanikisha hizo plans, yani info ni nyingi zinahitajika, sasa wengine hatuna utaalamu wa haya mambo...

Ushuri ni huo tu juu, kutana na wataalamu wa mambo ya biashara
 
Shukrani Mkuu ngoja ntafanya mchakato
 
Iwapo utahitaji ushauri zaidi nitafute.
Nakupongeza kwa uthubutu.
Tunahitajika sasa sisi kama vijana kubadili mtazamo ktk ajira.
Tahadhari ninayokupa ni kuwa,kadri unavyojaribu kujikomboa kiuchumi ndivyo unavyoiongezea kazi akili yako ktk kutathmini yanayokuijia.
Ktk hili ongezea haya
~Wazo ni lako wengine tunashauri~
_Usiruhusu malipizi kwa lolote litakalokutokea,litumie kwa kujipa muda kulitafakari kulipatia ufumbuzi._
_Kuwa sikivu na mnyenyekevu huku ukifanya kazi kwa bidii.Heshimu watu wa rika zote kwa kuwa wafadhili wapo Kila mahalim
Barikiwa Mkuu ntakufuata pm
 
Jaribu kupeleka ombi lako kwa NGOs mbalimbali zinazoshughulika na maswala ya kielimu huenda wakakusaidia
 
Wakuu naomba msaada hapa tafadhali, nimeanzisha shule ya chekechea, na tayari imeshasajiliwa huku ikiwa na wanafunzi 40,

Sasa malengo Ni kuikuza shule kwa kuongeza wingi WA Madarasa, walimu na ofisi za walimu pamoja na vifaa vyote muhimu vinavyotakiwa katika maswala yote yahusuyo shule.

Sasa naomba kujua naweza pata wap au nitumie njia gani kupata wafadhili?
Shukrani
Oooh!Hiyo mkuu ni dili nzuri sana hasa kwa Freemasons.I am serious.Visit their offices if spiritualy kwako sio tatizo au you are spiritually dead.Ni dili kwao kwa kuwa interest yao ni kupotosha hasa watoto wadogo, so that they can use them as slaves now,towards the "end game" or during the "end game" for furthering their New World Order demonic agenda.Otherwise si rahisi kupata mfadhili mwenye nia njema kabisa 100% kwa kitu kama hicho.You only have to accept their terms of incorporating some dirty games!Kwa Freemason hiyo kitu inalipa kwao mkuu kwa kuwa nia yao ni kuingiza uovu wa kila aina early on in life!Huo ndio ukweli whether you like it or not.Na wazo la kuanzisha shule hiyo never came from you after all in the first place,it was imparted on you "telepathically. "
 
Kama sio mtaalamu wa kuandika andiko (Proposal) tafuta mtaalamu akuandikie saafi halafu u gugo kuangalia taasisi za ndani na nje ya nchi wanaotoa ufadhili
 
A
Oooh!Hiyo mkuu ni dili nzuri sana hasa kwa Freemasons.I am serious.Visit their offices if spiritualy kwako sio tatizo au you are spiritually dead.Ni dili kwao kwa kuwa wana interest ya kupotosha hasa watoto wadogo, so that they can save as slaves towards the "end game"which is now or during the "end game." Otherwise si rahisi kupata mfadhili mwenye nia njema kabisa 100% kwa kitu kama hicho.Kwa Freemason hiyo kitu inalipa mkuu!Huo ndio ukweli whether you like it or not.
Abee sijaeleewa hapa Mkuu
 
Duuh..hii kali aseeee.
 
Nenda makanisa ya kilokole wale Mara nyingi huwa wanakuwaga na wafadhiri wao, ingia nao ubia wa kusomesha bure watoto wasio jiweza kwenye shule yako huku ukila sahani moja na baba mchungaji
 
Wakuu naomba msaada hapa tafadhali, nimeanzisha shule ya chekechea, na tayari imeshasajiliwa huku ikiwa na wanafunzi 40,

Sasa malengo Ni kuikuza shule kwa kuongeza wingi WA Madarasa, walimu na ofisi za walimu pamoja na vifaa vyote muhimu vinavyotakiwa katika maswala yote yahusuyo shule.

Sasa naomba kujua naweza pata wap au nitumie njia gani kupata wafadhili?
Shukrani
Kama upo dar nenda SOS karibu na Sm 2000. Kaulizie . Pia jaribu kutafta mashirika yanayofanya issues za child protections kama Reps nk.
 
Jaribu PIA kuongea na mbunge Wako ataweza kukusaidia then utaandaa andiko anakutafutia wafadhili
 
Kama upo dar nenda SOS karibu na Sm 2000. Kaulizie . Pia jaribu kutafta mashirika yanayofanya issues za child protections kama Reps nk.
Mimi Nipo Arusha Mkuu, naomba nitajie hayo mashirika yanayofanya issues za child protection tafadhali angalau nipate pa kuanzia
 
Kw
Kwa hiyo Mkuu Na Mimi natakiwa kuwa freemason au inakuwaje hapa? Wakuu ushauri wenu hapa, @alwaaatan [USER=139306]barafu[/USER], paschal mayala
Kama spiritually umekufa ruksa mkuu,sasa tutakusaidiaje,si unataka mafanikio ya corner corner?Infact wanasema ukishakuwa Freemason,si kwamba utafadhiliwa tu,ila na wewe utakuwa mfadhili!Hii ina maana gani,kwamba wafadhili wote ni Freemasons?It seems so.
 
Back
Top Bottom