Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

NSSF watajuaje kama kazi niliyokuwa nafanya labda nilisubmit chet cha chuo labda nikisema cjaenda chuo na pale niliingia kwa chet cha form six tu kwa connection hapo vip pesa itatoka na nikiwa na evidence kutoka kwa HR nisaidieni nduguyangu hii kwangu iko serious sana nina biashara sina mtaji na ela ndio ipo huko nssf
Sikukatishi tamaa Ila kwa mazingira ya Sasa huwezi pata zote mkuu
 
Hujaeleweshwa vizuri na hao NSSF.

Mimi nilikuwa nafanya kazi sehemi mkataba ukaisha nikasubiri muda ulivyofika nikajaza maombi ya kulipwa pesa yangu,nikaambiwa kwakuwa ni professional unalipwa asilimia 33 ya mshahara wako wa mwisho na fedha nyingine utapata baada ya miezi 18 kama hujapata kazi

Nikakubali,nililipwa asilimia 33 kwa muda wa miezi sita kama kawaida,baada ya miezi 18 kupita nikaenda kudai kilichobaki hapo ndipo nilishangaa,waliniambia kiasi kilichobaki siwezi kupata chote,nitapata kiasi fulani kwa formula hii.

Fedha nitakayopata= fedha iliyobaki baada ya kulipwa awamu ya kwanza-(minus) fedha jumala niliyochukua kwa muda wa miezi sita.

Mfano jumla ya michango yote= 4,000,000
Ukalipwa milioni 1,400,000 kwa muda wa miezi sita,itabaki 2,600,000.

Hivyo baada ya miezi 18 utalipwa.
2,600,000-1,400,000 (uliyochukua)= 1,200,000
Fedha utakayoipata ni 1,200,000/=
Kwa hiyo 1,400,000 iliobaki ndio haupati tena?
Na ikitokea umeshajitoa baada ya mda fulani ukapata kazi ya professional yako unaanza upya kujiunga tena?
 
Kwa hiyo 1,400,000 iliobaki ndio haupati tena?
Na ikitokea umeshajitoa baada ya mda fulani ukapata kazi ya professional yako unaanza upya kujiunga tena?
Ndio hupati tena.
Ukipata kazi tena michango inaanza kwa kutumia namba yako ya zamani
 
Ikitokea kazi uliyokuwa unafanya ni ya kitaaluma, hata ulie unagala gala chini hutapata pesa zako, zaidi ya 33% ya Mshahara wako kwa miezi 6.

Fao la kujitoa lipo maalum kwa wafanyakazi wasio wa kitaaluma, na walio achishwa kazi.

Sheria ndivyo zilizo, na haziwezi kubadilika leo au kesho.

Ni utafute namna ya ku-deal nazo wakati unataka pesa zako.
Acha uongo,no reasearch no right to speak.
 
Hujaeleweshwa vizuri na hao NSSF.

Mimi nilikuwa nafanya kazi sehemi mkataba ukaisha nikasubiri muda ulivyofika nikajaza maombi ya kulipwa pesa yangu,nikaambiwa kwakuwa ni professional unalipwa asilimia 33 ya mshahara wako wa mwisho na fedha nyingine utapata baada ya miezi 18 kama hujapata kazi

Nikakubali,nililipwa asilimia 33 kwa muda wa miezi sita kama kawaida,baada ya miezi 18 kupita nikaenda kudai kilichobaki hapo ndipo nilishangaa,waliniambia kiasi kilichobaki siwezi kupata chote,nitapata kiasi fulani kwa formula hii.

Fedha nitakayopata= fedha iliyobaki baada ya kulipwa awamu ya kwanza-(minus) fedha jumala niliyochukua kwa muda wa miezi sita.

Mfano jumla ya michango yote= 4,000,000
Ukalipwa milioni 1,400,000 kwa muda wa miezi sita,itabaki 2,600,000.

Hivyo baada ya miezi 18 utalipwa.
2,600,000-1,400,000 (uliyochukua)= 1,200,000
Fedha utakayoipata ni 1,200,000/=
Duh
 
Tafuta kazi ya ulinzi, au yoyote isipokuwa ya kitaaluma inayopeleka michango yako NSSF.

Fanya kazi miezi 3 au 6 then tengeneza Mazingira ya kuachishwa kazi.

Utapata michango yako yote
Still hawezi kupata zote mzee.. nimelifwatilia hili na kuliulizia kwenye ofisi za NSSF more than twice wanasema hawaangalii kazi uliokua unaifanya wanachoangalia ni level ya elimu yako
 
Unajua kwenye hili swala la NSSF lina pande mbili unaweza ukakuta mtu ni muhasibu lakini anafanya kazi kiwandani kama operator yaani out of proffessional ni rahisi kupata hela zote za NSSF ila kama wewe ni muhasibu na umeajiriwa kama muhasibu basi hilo swala litakuwa gumu kupata hela zote kwasababu upo ndani ya professionalism wanaamini mda wowote utapata kazi mimi nilipata zangu zote maana nilikuwa nafanya kazi katika kitu nje ya professional yangu.
Ulipata hela zote wakati gani coz io mambo ya 33.3% walianza kuitumia toka tarehe 1 July 2022
 
Still hawezi kupata zote mzee.. nimelifwatilia hili na kuliulizia kwenye ofisi za NSSF more than twice wanasema hawaangalii kazi uliokua unaifanya wanachoangalia ni level ya elimu yako
Documents gani ya Elimu unayoiweka kama attachment wakati wa kudai mafao NSSF?

Au kwenda kuwaambia Elimu yako ni shobo zako tu.

Siku ZOTE NSSF wanataka pesa zibaki kwao, wasitoe kitu. Kwahiyo ukiwapa mwanya wa sababu hawakupi.
 
Hakuna document yoyote ya level ya elimu ambayo unaambatanisha kupeleka NSSF wadai hua wanawasiliana na muajiri na wanafanya investigation kuhusu level ya elimu. Na mimi ni muhanga wa io 33.3% na niliwauliza maswali kuhusu io na majibu ya jinsi gani wanatambua level ya elimu ya mtu ilinitia mashaka kidogo alafu pia kwani kwenye ile form ya awali ya kuomba uanachama si kuna sehemu unajaza level ya elimu?
 
Ok sawa level ya elimu lakini kazi umepata ya kibarua licha ya kusoma degree ya uhasibu
 
Huwezi kupata mpaka hiyo miezi 18,ungekuwa uliajiriwa kama UNSKILLED (KIBARUA)ungepata, lakini kwa kuwa ni graduate NSSF wanaamini utapata kazi nyingine na kuendelea kuchangia hivyo HAWAKUPI
Hapana , mimi niliacha kazi lakini nikaongea na HR afanye mkataba umeisha nilipewa pesa zote, kama mafao yakukosa ajira
 
Habari,

Naomba ushauri kwa anayefahamu namna gani naweza kupata pesa zangu zote NSSF ipo kiasi ni chini ya mill 5 na kazi nimeachishwa hivyo ukifuata utaratibu wa kawaida unaambiwa kuna kikokotoo unapewa 33℅ ya gross sallary yako ndan ya miez sita kisha unasubir miez 18 ndio upate yote.

Sasa nahitaji niongeze kwenye mtaji wa biashara hyo pesa yote nifanyaje ili niweze kupata pesa yangu yote,?elimu yangu bachelor.

Asanteni nipo hapa napitia comment zenu wanajopo

Njoo dm nikuelekeze
 
Still hawezi kupata zote mzee.. nimelifwatilia hili na kuliulizia kwenye ofisi za NSSF more than twice wanasema hawaangalii kazi uliokua unaifanya wanachoangalia ni level ya elimu yako
Tatizo lenu nyie humu ni wabishi.Pesa yote watu wanachukua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom